Recent content by i-nity

  1. I

    Je, Kikwete ni Msafi?

    wewe ni mpuuzi sana, mamluki...huna kichwa wala miguu juu ya hoja hii.... kwani uchafu wa kikwete unaonekana kwenye hilo moja tu lililotajwa?
  2. I

    JK asifiwa kuhusu OBAMA

    nadhani hoja aliyotoa Pundit ni ya muhimu....kwamba mbali na vijikosa vya grammar kama ilivyoonyeshwa kwenye ujumbe tunaouongelea[ambavyo vinaweza kuvumilika]kuna suala la kuchafua ujumbe kwa kutumia neno 'excitement'pasipostahili. sidhani kwamba kikwete angeulizwa swali hilo kwa kiswahili...
  3. I

    Butiku aibuka tena:Anasema Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji

    joseph, mbona unatumia jazba saaaana kwenye jambo la maoni tu? suala la wewe kunitajia jina lako (nilikuwa silihitaji) haionyeshi ushujaa wako. kama unadhani una mchango mkubwa na wa maana zaidi kwa nini unatumia muda mwingi kumng'ang'ania mtu mwoga ataje majina ya mafisadi? busara haitoshi tu...
  4. I

    Butiku aibuka tena:Anasema Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji

    nakubaliana na mtazamo wako, hasa sehemu ya kumuunga butiku mkono aendelee kupiga tarumbeta. hii sehemu ya kutaja majina kwa sababu za kiusalama itamfikisha ambako labda hajajiandaa kufika. nadhani mbali ya kuwabwekea mafisadi walioko ofisini hajasahau nguvu waliyonayo juu ya vyombo vya sheria...
  5. I

    Butiku aibuka tena:Anasema Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji

    butiku asizuiwe kusema anachosema, kama sisi wote tusivyozuiwa kusema tunajojua juu yake. kwa mfano, asingejitokeza na kusema haya ya ufisadi-suruali wake na ya kujibinafsishia mali za umma tungeyasikiaje? wajitokeze wengine kama yeye ili hatimaye wengi zaidi wa namna yake waanikwe juani.
Back
Top Bottom