Recent content by Hsbm

  1. H

    Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

    hatutaki kupangiwa hayo wayafanye kwenye nyumba zao za shirika lao la nyumba
  2. H

    Jerry Muro Awaombea Rais Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    hivi hawa vijana kwa nini wasitumie elimu zao katika kulisaidia taifa letu badala yake ni kujipendekeza tu kila uchao Hawa in watu wa kuogopwa kwa sabb hawana mapenzi mema na taifa ila no kwa ajili ya matumbo yao muwe na aibu, vijana mujitaidi kuficha ujinga wenu wa kujipendekeza, Mara ooh chama...
  3. H

    Jerry Muro Awaombea Rais Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    jamaa we ni noma ila Hanma chochote ni njaa tu zinakusumbua
  4. H

    Hotuba ya Waziri Mwakyembe ktk Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - May 03, 2017

    Kwanza tujikite kwenye dhana ya demokrasia kwamba ni neno la kilatin demos lilitafsiriwa kuwa ni utawala wa watu, Abraham likolin yeye akatafsir kuwa demokrasia ni utawala wa watu uliowekwa na watu kwa ajili ya watu. Kwa namna nyingine watu wanaiweka serikali madarakani kwa utaratibu...
  5. H

    Kampuni kubwa nchini zashuka mtaji DSE

    washuke tu mitaji hakuna namna japo kundi kubwa halikubali kuwa hali ya kiuchumi si nzuri kwa hiyo washuke tu tena nashangaa wanashuka slow sana nahisi kua wanapika taarifa itakua wame drop sana
  6. H

    Rais Magufuli usilie pesa "ukizichimbia" Benki Kuu, hazitazalisha faida. Jifunze kwenye hadithi ya talanta kwenye Biblia

    magu hasikii inaonesha anakisimamia anachokiamin hata kama no kitu cha kijinga, tumwache na ujinga wake wa kutotaka kuelewa
  7. H

    Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 90. Wadaiwa kumlisha Rais Magufuli maneno

    sio wa Ku mchukulia serious mana magufuli anaongea tu bila kufikiria kuwa maneno yake yana impact gan kama kiongozi
  8. H

    Hili la mifuko ya jamii linatosha kuing'oa CCM madarakani

    sisiemu in kichwa cha mwendawazimu
Back
Top Bottom