Lol hii kitu inasikitisha ila nimesoma post zote na nimecheka sana. Kwa kweli dunia imeisha na hivi nchi za wenzetu wanaanza kuhalalisha mambo ambayo yapo kinyume na maadili na Mungu mwisho waafrika na Watanzania wa dizaini hiyo nao wataomba haki zao zitambuliwe. Asprin uliyonena ni kweli mtupu...
Hapana si za majuto sema nakuwa sijapanga kwa muda huo ama sijapumzika vya kutosha. Natumia condom but unaweza kuta zimeisha ndani na sidhani km yaweza kuwa sababu ya kunyimana.
Nitakuwa mwangalifu zaidi ama niseme kwa sasa nipo makini kwa kweli.
natumia njia njia ya asili na condom hayo madawa...
Naungana nawe 1-3 ila pia kuna uwezekano wa kumbadili lakini kwa lugha nyepesi na kumpa madhara na usitegemee iwe haraka na zaidi atakwambia napunguza zaidi ni Mungu atasaidia. Huwezi jua alianzaje na akifika huko ni tatizo tayari na laweza mtokea hata mwanamke so hapo ni msaada pia unahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.