Recent content by Hornet

  1. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  2. Hornet

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Kama hichi hapa Sauti inatoka very clear @20,000 tu
  3. Hornet

    Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Nichek inbox nipo Dubai nakutumia Tu unachukua Dukani kwangu Kariakoo
  4. Hornet

    Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Branded kuanzia 70k -2M Ila kuna nzuri ambazo siyo Brand name za 45,000-100,000
  5. Hornet

    Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Ni balaa Wapenzi wa perfume nzuri nipeni kazi 👌
  6. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  7. Hornet

    Uzi wa vyakula tu

  8. Hornet

    Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Umekuja duniani mwenyewe na utaondoka mwenyewe. Fight your own battle.
  9. Hornet

    Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Wateja wengi hawakubali kulipia before delivery Kutumia bolt ni risk zaidi Bora awe na boda wawili waaminifu Unaachana nae tu for good anaweza kujishtukia akaja kuwa mteja mzuri tu.
  10. Hornet

    Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Tunafokewa jamani.. saa nyingine naweka simu loud naendelea na kazi zangu, akimaliza anakata mwenyewe
  11. Hornet

    Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

    Nina mteja wa Jumla nimemremove kwenye group zote Nimempa tu na ukweli nikamwambia be humble, kununua mzigo kwangu isiwe sababu ya wewe kunigeuza dampo la maneno machafu.. juzi nimeona text yake nimuadd kwenye group ila bado sijaisoma.
  12. Hornet

    Dkt Sule: Baba yangu alifungwa kwa kuwa na colgate

    Dkt Sule wa Ardhi University au mwingine?
  13. Hornet

    Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Nilienda Mwanza sijaenjoy Next time nitafika huko waghill
Back
Top Bottom