Recent content by gwambali

  1. G

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Habari wakuu, hali ya maisha imezidi kuwa mbaya kiuchumia kwa baadhi ya raia wengi wa nchi hii. Pesa ikiwa haipatikani na ikipatikana hamna cha maana unachoweza kuifanyia... Nimekuwa nasikia kupanda kwa unga tu, jana nimepita mashine kununua unga kilo 25 kwa bei ya jumla na kukuta unga umepanda...
  2. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Mkuu nashukuru sana, nimependa huduma japo wapo juu sana kwa bei, kuifunga GPS dola 180 gharama za fundi dola 10 na malipo kwa mwezi ni dola 15
  3. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Kwa nini siyo hapa kwenye Uzi huu ili uunufaishe na wengine... Hiyo 50,000 ni kwa mwezi au ndio malipo ya jumla
  4. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Haswaaa hili ndio hitaji langu mkuu, so unaweza kunitajia baadhi ya kampuni zinazotoa huduma hii pls
  5. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Ahsante ndugu, nimewasiliana nao gharama zao kwa mwezi ni sh. 50,000 ambayo kwangu ni gharama kubwa
  6. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Sijaelewa hiyo app itaweza vipi kuitracking hii simu ambayo inakuwa imefungwa kwenye pikipiki mkuu.
  7. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Ahsante kwa ushauri wako Mzuri, Mimi nahitaji kwaajili ya hizi bajaj zangu na si kwaajili ya biashara.
  8. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Nimetafuta bila mafanikio ndio maana nimekuja hapa mkuu, ikiwa una taarifa zao ni vyema ukashare nasi.
  9. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    GPS device si inahitaji utaalamu kufunga ndugu au mtu yoyote anaweza kufunga? Je kuagiza toka China gharama zake ni kiasi ghani?
  10. G

    GPS tracking system kwa Bajaj

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mmiliki wa bajaj 4, nahitaji kujua kampuni ambayo inajihusisha na kutoa huduma ya kufunga GPS kwenye bajaj, nalazimika kufanya hivi kutokana na wizi uliokidhiri wa vyombo hivi. Kwa wenye taarifa na bei za kampuni inayohusika na huduma hii anifahamishe tafadhali.
  11. G

    Nahitaji kampuni nzuri ya bima kwaajili ya Bajaj

    BAJAJ aina ya TVS KING ni nzuri na imara. Bei yake ni kuanzia 6.8m hadi 7.2m
  12. G

    Nahitaji kampuni nzuri ya bima kwaajili ya Bajaj

    Nimewacheck naona wako vizuri ndugu.
  13. G

    Nahitaji kampuni nzuri ya bima kwaajili ya Bajaj

    Habari ndugu zangu. Kama nilivyoeleza hapo juu nataka kukatia bajaj yangu bima kubwa tatizo sijui ni kampuni gani ya uhakika ambao siyo wa babaishaji pale mteja wao anapopata tatizo lolote. Naombeni ushauri wenu siangalii wanatoza % ya thamani ya bajaji bali uhakika wa kupewa stahili yangu...
Back
Top Bottom