Recent content by Gunda66

  1. Gunda66

    Siasa iliyofanyika katika elimu, sasa tumepata vijana mbumbumbu

    To be honest nimesoma lakini sijaona ulipoonesha wapi huyu GENTAMYCINE amekosea zaid ya kumshambulia na maneno matupu tu hapa!
  2. Gunda66

    Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

    Sababu ametupigania sana lakini tumemlipa nini? tumemlipa risasi? sisi kama wananchi aliotupigania tulimlipa nini? kiukweli hatukumtendea haki huyu jamaa Najua hutanielewa, but Lisu kawafanyia watanzania kazi kubwa tena kabla hata hajawa na hayo madaraka ya ubunge, ila uzelendo wake kwa Tanzania...
  3. Gunda66

    Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

    Naelewa kama ni taarifa na naombea ziwe za kweli, maana hatumstahili Lisu that is the fact
  4. Gunda66

    Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

    Still nasimama na Lisu sababu hatukumstahili huyu jamaa, na hatujamtendea haki kama wananchi wa TZ, mwache awe anavyotaka shida ikowapi? Ulitaka afe njaa na elimu anayo? Ni wakati wa elimu yke kumsaidia yeye na familia yake na sio sisi tusio na shukrani tuliojawa na unafki!
  5. Gunda66

    Goodluck Gozbert unaelekea wapi?

    So yaani MUNGU apewe vibaya na shetani ndo apewe vizuri?... Yaan MUNGU apewe nyimbo za hovyo, zisizosikika vizuri alafu shetani apewe melody nzuri? MUNGU ana wivu pia so anahitaji tumwimbie vizuri na tumchezee pia! Daudi alimchezea MUNGU hadi nguo zikamvuka unajua alicheza kwa viwango gani...
  6. Gunda66

    Rafiki wa Kitanzania ni wanafiki na wana roho mbaya sana

    Ukisoma thread zake utagundua ana kitu cha tofauti sana! Inawezekana haongei ukweli ila why iwe dhambi mtu kijiita tajiri na sio masikini? Why umasikini ndo uwe sifa na sio utajiri!? Anaongeaga mengi bt ktk thread zake zote msg ni moja tu! Utajiri ni mzuri kuliko umasikini!
  7. Gunda66

    Rafiki wa Kitanzania ni wanafiki na wana roho mbaya sana

    Yaan nimecheka kwanguvu toka mwanzo wa thread mpaka mwisho! Kila mtu kwenye daladala kanimind aisee!! Btw umefanya asubuhi yng kuwa njema sana! Nashukuru kiongozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Gunda66

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    Elia naye hajulikani chimbuko lake lilikuwa ni wapi hakuwa na mzazi na hakuwahi kufa pia
  9. Gunda66

    Penzi Huchipua kama Uyoga

    @kasie kama you like the guy kwann usikilize maneno ya watu wengine? Nashindwaga elewa why watu wanasikiliza maoni ya wengine! Me nimpaka nimshindwe mwenyewe na sio kwa maneno ya watu!
  10. Gunda66

    Mzee Makamba Unachokilalamikia Wewe Kwa Sasa Mlikitengeneza Wenyewe

    Lazima sometimes tuongee ukweli! Ulichoongea ni stori ya ukweli na ila ina uongo ndani yake! Ni kweli kuna mwanafunzi alimuita fisadi but Makamba alipiga mkwara kwamba akiondoka hataki sikia kuna mwanafunzi kapigwa viboko au kuadhibiwa kwa namna yoyote ile sababu ya yeye kuitwa fisadi Ilikuwa ni...
  11. Gunda66

    Hii ndio rangi halisi ya Magufuli kwa upinzani, mengine yote ni maigizo

    Unafail sana kumfananisha MUNGU na magufuli, MUNGU anasema anatafuta mmoja mwenye haki ainue taifa just imagine mmoja tu ainue taifa, yeye magufuli alikataliwa sawa but alipata kura ngapi hapo Mbeya mjini? Siku zingine usimfananishe MUNGU na vitu vya ajabu
  12. Gunda66

    Mhenga aloikataa million 425 huyu hapa.

    Huyu kurudi ni haki yake maana kwao sio maskini, anaweza asifanye kazi na akala, akavaa na kuendesha maisha yake kwa anasa, baba yake ni mchungaji ndo anayemiliki kituo cha tv cha ATN, mama naye ni mchungaji + wafanya biashara sasa kuna umaskini hapo kwao?
  13. Gunda66

    Nini kimejificha nyuma ya sanaa ya Erick omondi ?

    Pambana na Hali yako Steve Nyerere, Hivi wewe Erick umeanza kumfahamu lini?
  14. Gunda66

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Aisee nimeisoma Thread yote kuja kwenye post za members ndo nikajua kuwa huwa hujibu PMs, niwie radhi kwa PM yangu please count me in on this one! nahitaji kufahamu kwa undani hii biashara na kuifanya pia! natanguliza shukrani zangu za dhati
Back
Top Bottom