Recent content by Godfrey Ngupula

  1. G

    Nina wasiwasi na January Makamba

    Hiv kwel watu mnapoteza muda kufikiria kuwa makamba january anawezA kuwa rais wa nchii hii. Jifunzen kwa babake,alikuwa mtu mzur,lkn alipolewa madaraka akawa mjinga na kukigawa chama...jamani kama baba alivyondivyo atavyokua mtoto
  2. G

    Dakika 45 ITV: Mwigulu Nchemba kufanya mahojiano

    Nyota njema huonekana tangia asbh. Kama mtu akitaka kujua yapo matumaini,basi amwangalie mwigulu pia. Ningependa sana nichukue nafasi kuwashauri CCM,ni watu wawili tu wenye uwezo wa kuisaidia nchi kwa sasa..ni lowasa na mwigulu.big up mwigulu
  3. G

    Lowassa utayaweza haya ya Ethiopia ukipata urais?

    Lowassa au mwigulu wataweza,ni watendaji safi
  4. G

    Nape kutangaza kugombea urais 2015

    Duh,ni mwigulu tu
  5. G

    Nyota ya Mwigulu yakuza kwa kasi ya ajabu

    Comrade Mwigulu licha ya kujulikana TZ nzima,lkn hakua katika fikra za wengi kuwa anaweza akafaa kuwa rais Wa TZ by 2015. Lkn tangia alipochaguliwa kama naibu waziri wizara ya fedha...utendaji wake Wa kiharakati,uchungu kwa masikini na uzalendo vimemuweka pazuri Sana kwa nafasi ya uraisi na...
  6. G

    Mwigulu Ni Kiongozi Anayesadifu Fikra za Nyerere

    Mwigulu ni jembe na ni mmoja kati ya hazina chache za vijana ndani ya ccm...ccm tunajua tukisema kijana tunamaanisha mwigulu
  7. G

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Unafiki na uzalendo ni sawa na chai kwa mlenda...ndivyo alivyo zitto
  8. G

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Hellow,naomba unitumie hii post kwa mail Yangu...itanisaidia Sana kWenye vita dhid ya wapinzani Wa lowassa....My mail ni godfreyngupula@gmail.com
  9. G

    Mwigulu: Kodi Ikikusanywa Vizuri na Kusimamiwa Vema Nchi Itaenda Bila Wahisani

    Jamani kumbukeni mwigulu ndio kwanza naibu waziri...ni vigumu sana yeye kuingilia kati mfumo na kuuharibu na yeye akabaki salama. Ila kwa nafasi yake alichoweza kufanya amefanya na anafanya. Na ndio maana anaomba apewe ridhaa ya madaraka mapana zaidi....aungwe mkono na atiwe moyo
  10. G

    Mwigulu: Kodi Ikikusanywa Vizuri na Kusimamiwa Vema Nchi Itaenda Bila Wahisani

    Ndio tatizo letu watanzania,hivi mnadhani Mungu atamshusha malaika kuja kuwasaidia?sasa,unafiki wa mwigulu uko wapi?je si kweli tatizo kubwa la uchumi wetu ni kukusanya kodi ipasavyo na kudhibiti matumizi?Mwigulu ni kijana safi aliyebeba matumaini ya watz. Wewe kama umekata tamaa pole
  11. G

    Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

    Ngereja hapana kabisa,labda sema wewe unamtaka ngereja..urais wa 2015 ni kwa watu wenye uwezo wa utendaji na kuleta tija...binafsi sidhani kama yupo kijana mwingine zaid ya comrade Mwigulu Nchemba,naibu waziri wa fedha....hili ni jembe yaani
  12. G

    William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

    We ndugu yangu huyu ndiye alikuwa anatulaza giza kila siku leo ndio tumpe urais?
  13. G

    Mwigulu Nchemba:Tumaini jipya kwa Tanzania?

    Jamani tuwe wakweli,hivi kwa so far waliojitokeza kuonyesha nia ya kuwania urais CCM ni kijana gani anamzidi comrade Mwigulu Nchemba?Binafsi nampenda kwa jinsi anavyoyatazama mambo haswa katika nafasi yake hii ya unaibu waziri wa fedha..Mabadiliko ni matendo na nchi hii inahitaji watendaji na...
Back
Top Bottom