Recent content by globarch

  1. G

    MakongoroMahanga alikuwa anasubiri kesi iishe au uteuzi ndio aendelee na ujenzi wa nyumba yake

    ni bora kuwa muwazi na unachokiandika taja jumba lake liko wapi na ni muda gani kazi ilikuwa imesimama
  2. G

    Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

    Njaa zitatuua. Lazima atetee mkate wake. Kuna vita ya madaraka. Enzi za awamu ya kwanza na ya pili viongozi hawakufaidi sana kama sasa hivi, hata ungalikuwa wewe kipindi hiki hayo ungeliyafanya maana kiongozi ni bora kuliko walalahoi wake. Ukitekeleza yale yanayostahili kesho utakula nini? Mfumo...
  3. G

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Tatizo si Kafulila ni siasa za Tz hazina mwelekeo. Wanasiasa wengi ni kutafuta ujiko wawe juu ya sheria. wamejaa uongo, uzandiki, porojo wakiwa na matumaini makubwa sana. Wote Zitto na Kafulila hawastahili kuwa wanasiasa wangefukuzwa wote.
  4. G

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kuanzishwe mjadala wa kitaifa hao viongozi wanaogopa nini? kuna siri gani kama tunataka demokrasia ya kweli? Basi tuamue kwa misingi ya sheria. Siri inayofichika ambao wengi hawaijui ni kwamba mwuungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa wa vyama viwili vya siasa TANU na ASP. Na ahadi...
Back
Top Bottom