Recent content by Gibeath-Elohimu

  1. Gibeath-Elohimu

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naomba kuwasilisha: Je,kuna tatizo lolote la kiufundi katika app ya M-PESA mteja akitaka kununua KING'AMUZI cha AZAM. Maana nimejaribu mara kadhaa hapa napata alert ya "Kwa sasa sitoweza kukunua kifurushi maana kuna hitilafu. Naomba ufafanuzi katika enyi Vodacom. Ahsante.
  2. Gibeath-Elohimu

    Nina umri wa miaka 30, naishi kwa kaka yangu, watu wananidharau naombeni ushauri

    Kwa sasa ningekushauri upotezee ishu za madem maana hawatokuwa na chochote cha kuongezea zaidi ya kumaliza hata kidogo ulicho nacho na kuzidisha stress. Pili Kwa uzoefu uliopata wa mambo ya simu tafuta pahala pa kujishikiza Kwa fundi yoyote wa simu au hata hapo kitaa au chuo chochote kile cha...
  3. Gibeath-Elohimu

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Zingatia hapo "KIMA CHA CHINI'' so hilo ongezeko ni kwa wale wa kima cha chini tu.Hii ni technical move ya kupoteza maboya.
  4. Gibeath-Elohimu

    umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    Niliweka maji kwenye jiko la gesi,Ka sufuria kadogo...nikajisahau nikaenda chuo kutokea Kimara....Niko Chuo nikashtuka sikuzima gesi....dooh nilitoka baru kama kichaa...chukua bodaboda na kupigia jirani nafika home maji yote yemekauka sufuria ndo ilikuwa inapigwa Moto sasa.Daah ilikuwa hatare na...
  5. Gibeath-Elohimu

    Jifunze Haya kutoka kwa Alpha Males

    Ndo wewe uliye weka huu Uzi kule Twitter pia......kama ndie basi hongera zako,Ila kama sie I recommend usisahau Kum acknowledge msela. Kazi nzuri!.
  6. Gibeath-Elohimu

    Hiki kifurushi cha Voda kimeenda wapi?

    Vodacom ni kampuni la kingese Sana......yaani ni majizi yaliyokubuu hasa Kwa data.Piga chini mbwa hao hamia mtandao mwingine.
  7. Gibeath-Elohimu

    Dark days 17/03/20...

    Hakuna mahali popote pale mleta story amemlazimisha mtu kuamini......so kama we ndo unataka kuamini itakuwa we ndo kijiwe chenyewe.
  8. Gibeath-Elohimu

    Vladimir Putin didn’t just invade the Ukraine on 24/02/2022, he officially ended the petrodollar system!

    Umejibu hoja nzito Kwa maelezo mepesi Sana.Hebu tupe uthibitisho wa uchumi wa US kuwa mkubwa mare 20 ya Russia.Na vipi pia kuunganisha Russia,China na India bado kushindwa kufikia uchumi wa US...proof yako ni ipi hapa. Pia hoja yako ya Dola kuto yumba naona haina mashiko Sana,maana kutoyumba...
  9. Gibeath-Elohimu

    If you believe your thoughts and behaviour will remain under your own control, think again, the transhuman agenda is targeting your soul

    It is so sad for topics like this to have few commenters and even none.......... nevertheless,I commend you for sharing this,it such an eye opener article and, got myself thinking and, pondering how some of human are so evil and selfish....dunia inaenda Kasi sana.
  10. Gibeath-Elohimu

    Uasi mkubwa unakuja CCM

    Nchi imefika mahala patamu sanaaa......wanawake wanaweza,muda ndo muamuzi...ngoja tuone. Tutajua tu ukweli.
  11. Gibeath-Elohimu

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Nashukuru ndugu.....barikiwa,maana hakuna mahala popote nimekutukana.
  12. Gibeath-Elohimu

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Kabisaa chifu na huo ndo ukweli
  13. Gibeath-Elohimu

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Sawa Babu mwenye miaka yake 100....haya serikali ni nini....naomba unieleweshe,kama serikali sio mhimili ni kitu gani Kwa upeo wako???
  14. Gibeath-Elohimu

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Umeona eeh,yaani swaga za jamaa nowadays siko kama za kipindi cha Magu.
  15. Gibeath-Elohimu

    Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Ningependa kufahamu kwanini unaulizia umri,kisha nitakutajia.
Back
Top Bottom