Recent content by Gerald

  1. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Nafikiri hapa sio uduma, hapa ni kitu unacho promote ni tofauti na kile unachokwenda kumkabidhi mteja quality ya service and trust natoa mfano halisia wangu, Tulikubaliana malipo ya web design kwa Tsh250,000/= kisha nikatoa advance ukasajili web yangu kwa Tsh90,000/= unlimited na sharti ni kua...
  2. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Angalia nisije weka details zote hapa nikazidi kukuchafua....sawa mimi ni mmojawao niliokufahamu pitia hapa JF na kukupa kazi na baada ya malipo tuu mauzi yalipoanzia hapo tena bora hii bei ya sasa Mwanzoni ilikua 250,000/= .... bahati mbaya nipo mbali ila hela yangu siku itarudi tuu.
  3. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Ni mtu ambaye sio mwaminifu amini hivyo nilishampa kazi ya web na nilimlipa lakini kazi akunifanyia ila alichoniweza ni kuomba malipo yake haraka wakati akijua ni nini anachokusudia.
  4. Gerald

    Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

    Wee jamaa ni tapeli......kuweni makini na huyu mtu.
  5. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Thanks
  6. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Kaka hizo technical kwangu ni ngumu kidogo kukujibu kiufasaha. Elewa condition ya gari ipo vizuri
  7. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Reasonable, zidhani hata kwa kipindi hicho ungeweza pata kwa hiyo bei kuanzia kununua na mpaka kuimiliki.
  8. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Mawazo yako, Gari ni utunza na kama unaifanyia service kwa muda stahiki
  9. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Ni ndogo sana au??
  10. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh) Registration Year/Month - 2004/08 Odometer - Before 90,667km after check photos attached. Displacement - 2.3CC Serious buyer 0684811976
  11. Gerald

    Natafuta Landrover 110

    Kwa mwenye nayo anipe maelezo na bei yake pia. Nitafuta kwa 0754778889, kama upo serious. it is in good condition.
  12. Gerald

    The most powerful words

    *WHEN TO BE SILENT* 1. Be silent - in the heat of anger. 2. Be silent - when you don't have all the facts. 3. Be silent - when you haven't verified the story. 4. Be silent - if your words will offend a weaker Person. 5. Be silent - when it is time to listen. 6. Be silent - when you are...
  13. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    100% agree with your comment
  14. Gerald

    VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

    Kodi, P.A.Y.E, Nyumba, Maji, Umeme, Ada za Shule kwa watoto na chakula. Kodi nyingine za ovyo ovyo Kama Mpesa, Simu, Bank, Nauli na mengineyo ni kuongezeka kwa bei za bidhaa kwa mlaji bado kwa mstaafu or mfanyakazi mwenye Nyumba na Kiwanja inabidi alipia hati ya Kiwanja na Nyumba( property tax)...
Back
Top Bottom