Recent content by General

  1. General

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Tsh. 36m haizidi $17k kwa mwezi, ni mshahara wa kawaida sana kwa Mkuu wa Shirika ambaye ufanisi wake haufichiki. Kulipa wafanyakazi vizuri ni njia mojawapo ya kuzuia tamaa za wizi, sioni tatizo na Mshahara wa Tsh. 36m.
  2. General

    Operations Executive

    Part Time Employment ? Operations Executive A small family owned enterprise is looking for an operations executive to run their day to day activities in Kibaha, Pwani. The candidate should preferably be a graduate or a holder of a diploma or certificate with a quick thinking mentality and...
  3. General

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Wewe utakuwa mbumbumbu, nimetaja gazeti wapi? Ovyo kabisa
  4. General

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Hii hadithi imekaa kupikwa pikwa. Mtanzania Daima ovyo kabisa
  5. General

    Msanii Langa afariki Dunia!

    Sure as the sun will set in a few hours
  6. General

    Msanii Langa afariki Dunia!

    Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii. Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana. Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea. Msanii Langa...
  7. General

    Hii ndio idadi ya kesi za kifisadi zilokamilka na watuhumiwa kufilisiwa

    Moderator should just delete this thread
  8. General

    Nawaunga Mkono Madaktari

    Nchi ambayo haithamini taaluma ni nchi mfu
  9. General

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    12 Million acres? I see money (war) in the future
  10. General

    Ajira za watanzania kuchukuliwa na wageni, serikali ipo?

    Watanzania ni wajinga ndio na pia tuna viongozi wajinga, hii hali haijaanza leo na wala haitaisha leo, kuna mianya ambayo wanaitumia hawa wageni ambayo huwezi kuziba. Watanzania nao waende nje kuchukua kazi, thats exactly what I am doing.
  11. General

    Topic za Siasa Siku hizi Zinaboa

    Mwelekeo wa topic za siasa humu JF ni katika upeku peku, upashkuna, uongo, unafiki, wivu, kejeli, na mipasho, nad mwelekeo huu unaboa (unaniboa). Nothing great in the posts that are currently mushrooming, nothing a person can benefit from reading all these ridiculous posts about zitto et al.
  12. General

    Elections 2010 "Free education possible, corruption blocks it" - Judge Lameck Mfalila

    what an article,Slaa as of now stands a better choice to take Tanzania where we ought to be
Back
Top Bottom