Recent content by Gayo junior

  1. G

    Dr. Slaa hatimaye aibuka

    Dr Slaa ukisema vibaya tu imekula kwako. Katika ulimwengu wa Siasa hautaonekana
  2. G

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Unafahamu kuna uhuru wa kuabudu? tatizo lako na mkeo usilete huku Kama umeshindwa kuongoza nyumba yako. mke wako ni mchafu wa kawaida usisingizie makanisa ya kilokole pole sana na mkeo huyo usiwapangie wengine nyumba zao ahaaaaaa yakushinde mwenyewe
  3. G

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Mkuu hayo uliyosema Siyo ya kweli. Angalia vizuri Emmanuel TV utaona TB Joshua anavyofanya mambo. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
  4. G

    Baba Mwenye Nyumba ana maana gani katika hili?

    Huyo baba atakubaka siku moja shauri yako. Hama haraka sana hapo
  5. G

    X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

    Hakuna sababu ya wewe kuwaeleza ukweli huo, hayo uliyoyafanya yalikuwa zamani ila sasa una NDOA yako. Usiharibu uhusiano wa wifi yako na mchumba wake maana mume wako akfahamu atakuwa na hasira kwanza kwa mkewe kutembea na huyo mchumba wa dada yake na pili dada yake tena kuolewa na jamaa huyo...
  6. G

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    Tatizo alilonalo dada yako ni la kisaikolojia na pia ni la kiroho. Ushauri wangu kwake atafute mshauri wa ndoa (Marriage Counseler). Katika Ndoa yake kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa majini Mahaba ambayo yana tabia ya namna hiyo ili waendelee kuteseka na mwishowe Ndoa kuvunjika. Katika Ndoa...
  7. G

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    Kwa ushauri wangu hiyo ndoa ina tatizo la kisaikolojia na kiroho ndiyo kwenye mzizi wa tatizo. Dada yako anatakiwa kuonana na Counselor apate ile kitu inaitwa Marriage Couseling. Anaweza kuwasiliana na Counselor mwenye namba hii 071513686. Asante sana
  8. G

    Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    Nimefuatiia kipima joto tangu mwanzo hadi mwisho. Nilichogundua ni kwamba Job Ndungai ana uwezo mdogo sana kushika nafasi ya kiti cha Spika. Kwanza ana hasira za haraka, pili anajiona duni mbele ya watu wenye uwezo kama Tundu Lissu. Kifupi tunahitaji watu Jasiri na wenye kuona mbali kama Tundu...
  9. G

    Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

    Ingia kwenye Google andika unachohitaji kama what is freemason utapata jibu. maana ni mengi mno tutapata shida kukueleza hapa na tunaweza kujaza kurasa bure. Naamini umeeleewa?
  10. G

    Nimemfumania mke wangu, nimechanganyikiwa! Ushauri tafadhari...

    Biblia inasema katika Isaya 52:11-12 kwamba hamtatoka kwa haraka wala kwa kukimbia. Ushauri wangu kwako usifanye haraka sana kutoa maamuzi tulia kwanza halafu baadaye utafahamu wapi wewe ulipokosea pia hadi atoke nje. Rekebisha Hilo eneo na ndipo umrudie mkeo maana amejifunza vya kutosha kwenda...
  11. G

    uongo wa serikari ya CCM ni huu hapa tuiondoe kabisa 2015

    Watu wamekwishakula 10% yao hapo. Mbona kazi nchi hii!
  12. G

    Mwingira atangaza mwisho wa CCM 2015

    Mungu usamehe makosa ya mtu. Hata kama umefanya dhambi kiasi gani unapoenda kwake kwa toba ya kweli ufuta dhambi zako. Mwingira kama ametubu na aendelei na mchezo mchafu bila shaka amesamehewa. Tujadili thread wakuu
  13. G

    Malaya jela kwa kuuza miili yao lakini mafisadi wanauza mali zetu wanaachwa

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Fisadi hafungwi
  14. G

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Huyo Nundu anachekesha watu walioenda shule. Baada ya kuona deal limebumburuka ndio "ANAJINASUA". Na yeye yumo kwenye hiyo issue. Wakina - Zito endelea....
Back
Top Bottom