Recent content by freemind

  1. F

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Mheshimiwa Kikwete taja majina ya wauza madawa. Waandishi wa kenya tunaomba mchore picha kuhusu jinsi Tanzania inavyokumbatia uuzaji wa madawa ya kulevya. Hussein Abdalah: Hoja yako nzito kuwa hawa wauzaji wa madawa ndio wachangiaji wakuu wa CCM. Maana yake nini? ni chama kinachofadhiliwa na...
  2. F

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Mwanakijiji: Wewe na radio yako naomba ufanye follow up juu ya suala hili la Tanzania kuwalinda wauza unga. Naomba pia ripoti zako upeleke kwenye taasisi za kimataifa kuonyesha uozo wa maamuzi yanayotaka kupitishwa. Naomba pia uwape changamoto taasisi mbalimbali, NGOs, Makanisa na Misikiti...
  3. F

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Ama Kweli Nchi Hii ina matatizo. Hivi Nyie Wabunge Mliopo Dodoma Mkipitisha Sheria Hii Tanzania Ndio Mwisho Wake. Tumewapa Kura Mjadili Bungeni Mambo Ya Maana Ya Kutuletea Maendeleo Siyo Mambo Ya Wauza Unga na Kuwakingia Kifua. Mheshimiwa Kikwete, Tafadhali Weka Majina Ya Hawa Wauza Unga Nje...
  4. F

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    MZEE WA SHUGHULI: Siasa ni process na hasa inapogusa kubadili mind set ya watu waliozoea kwa muda mrefu. Mbona Zambia, Malawi na Kenya wameweza???. Ofcourse inahitaji huge sacrifice na commitment ya mtu wa aina hiyo. Mtu jasiri kama Mchungaji Mtikila kama angekuwa na akili iliyotulia angefaa...
  5. F

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    SINDBAD, naomba unisaidie katika suala hili la kadhi. 1. Kwani hamuwezi kuweka hao makadhi bila ya bunge kuidhinisha????? 2.Hiyo mahakama ya kadhi itatoa adhabu gani?? na je kuna magereza ya Kadhi yatakayoanzishwa???? Wasiwasi wetu ni kuwa mahakama hizo ndio mwanzo wa kuwa na taifa la...
  6. F

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Mbowe au washauri wako mpo na kusoma hapa??? Tunategemea katika topiki kama hii kusikia your views maana wananchi wanategemea sana nguvu yenu kuleta mabadiliko ya kweli. Mfano katika matatizo yaliyopo sasa tulitegemea CHADEMA muandae maandamano na mkutano Jangwani kutoa tamko la chama kuhusu...
  7. F

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Hii article nzuri sana. Raisi Kikwete soma hapa na ufanyie kazi please. Nchi unaipeleka wapi??????. Hatuna sababu za kuwa maskini Tanzania. Ni uzembe wa marafiki zako.
Back
Top Bottom