Nahiyo niliyozungumza hapo nilugha nyepesi mno, Qatar nabaadhi ya nchi zakiarabu zinahela uchumi wao uko vzur nahela yao inathamani Zaid yadola Ila uwezo wao wakivita ukoje??
Biashara ya majeans haiwezi kukupa uzoefu wowote kivita nimambo tofauti kabisa, Vita niutaalam wambinu namipango, uzoefu...
Nipumba tupu umeandika hapo, umeungaunga maneno. Kwakifupi REM nilile wenge analopata mtu kabla yakupata usingizi yaan kma kusinzia. Hakuna mtu anaweza kupata Hilo wenge baada masaa mawili ya usingiz.
Acheni kujitia ujuaji mwingi
Miaka ya 90 au 2000 iliwahi kuanguka shengena ikaua watu wote. Ajali ilihusishwa naushirikina watuwakaacha kupanda hayo magari mmliki akaiingia ubia nakampuni nyingine ya mabasi yakabadilishwa jina narangi yakawa yanitwa tashrif
Kuingiza million 1 kwa mwezi sio habari kubwa, habari kubwa nikuaitahitaji capital ya maana Sana hadi kugenerate kias hicho chafaida.
Maybe watu wawili/ watatu washare rent nawagawane muda wakukaa dukani, kila mtu awe nabidhaa yake moja ilazote zitakaa dukani at the same time
Mfano mmoja...
Asilimia kubwa ya wanaume tz ndio hao waliolelewa kimaskini, ndio hao wanakua rejected, ndio hao ambao fedha ndio kila ktu kwenye maisha yetu,
Unajitoa fahamu tuu Ila unajua hii ninchi nimaskini wananchi wake nimaskini hivo vitu mnavokariri kwa tamthilia haviendani kabisa namazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.