Ni bora kumfuata mtu unaeamini ana vision na uwezo wa kulifikisha taifa mahala fulani kuliko kusadiki miiko na misingi isiyofuatwa wala kutekelezwa kwa vitendo bali ni ngazi ya kuwanufaisha watu wachache kama silaha yao ya ukandamizaji,ubaguzi na ubeberu huku wakijipambanua kinafiki kua wao ni...
hivi wewe hata kiswahili chenyewe hujui halafu eti unamtisha Zitto wewe unapata wazimu au,toka kule mapanzi tu nyie aliewaroga kafa muache siasa za kitoto na hamna hadhi ya kumtisha Zitto
Dawa kuchanana tu Wewe umetumwa na Mbowe au?
Toka hapa na uzushi wako,hakuna cha uzalendo wala nini ni walewale mnaitaka kumchafua Zitto na tutamlinda mpaka dakika ya mwisho,akiondoka na sie tunaondoka tumechoka na uzushi na ujinga wenu
kwani wewe umelelew na wazazi au umekulia orphanage centre?wasnt ua mother doin these thing 2 your father?huu ***** wa kutaka kutengeneza mfumo wako hautakusaidia utakupa stress tu,kaolewe na hao wazungu wakuzadhalilishe watakavyo na ukilemaaa tu watakupigia 0718,ulale na pensi
Unakipaji cha kutunga mashairi,na ufunuo wako ni wakina haaaa haaaa pauka pakawa usalama gani watakwambia mtu kama wewe labda askari kanzu tu,mfyuuu kale upumzike jua kali
Babu siku hizi amekua kimeo,tangu mshahara wake uanze kulipwa na cdm kwa makubaliono maalum sasa kageuka mtumishi wa CDM na anatetea kibarua chake,pigana babu Mil 7 zinakuweka mjini usiache kibarua kipoteee,kama una uchungu na ufisadi ungeanza na mbowe aliewauzia magari chakavu kwa bei juu,haaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.