Recent content by Fadhila

  1. F

    Kwa madereva hawa ajali hazitaisha

    Ila na sisi abiria tunaopenda kushabikia madereva wanaoendesha bila kuzingatia sheria vile vile tunatakiwa kujirekebisha. Mimi nilishawahi kupanda basi dereva alikuwa anaendesha kama mwehu na mimi peke yangu ndani ya basi ndio nilikuwa napiga kelele apunguze mwendo. Hakuna hata abiria mmoja...
  2. F

    Biashara za Wahindi zina tija kwa Tanzania?

    Hapa tunalaumu wahindi wakati makosa ni yetu wenyewe wabantu. Kwani hizo fedha za EPA nani aliwafanyia mipango huko mabenki na serikalini? Ukwepaji wa kodi nani anawapa mipango hiyo? Nakubaliana na Njabu kwamba tusitupe lawama kwa wengine tujisafishe sisi wenyewe kwanza. Sisi wabantu tukianza...
  3. F

    Wizi wa gari

    Araway Hiyo ni fixi kabisaa, kaa chonjo na huyo dereva wako, yumo kwenye mipango
  4. F

    Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

    Hivi Bwana Alien unajua mahakama ya Kadhi inashughulika na nini? Naona umeanza na kukata mikono na kupiga mawe ..... una hakika hii ndio kazi yake? Tafadhali chukua muda kidogo ujifunze kuhusu baadhi ya vitu usikurupuke tu
  5. F

    Whitney Houston's return to the spotlight after seven years

    Mwanafalsafa, Tina Turner aliweza kurudi kwenye chati mwaka 1984 baada ya kupewa talaka na kunyang'anywa kila kitu na mume wake Ike Turner na baadae kupotea kwenye ulimwengu wa muziki kwa miaka kama kumi hivi. Akidhamiria kurudi basi atarudi kikweli kweli
  6. F

    mama salma huyoooo USA

    wauzaji wa sura ikulu..na wazururaji...kazi tunayo!!!!....anaenda USA kusema ZE ...ZE...HOME IS PROBLEM ..STREET CHILDRENI...na bakuli lake!![/B] Jamani haifai kudharau wenzenu, mbona wengine tunawaona lugha zao matatizo - from Spanish or Portuguese to English huwa wanasukuma hivo hivo. Cha...
  7. F

    Govt sees malaria beaten in 6 years

    Sasa elezeni basi nini kifanyike sio kusema tu
Back
Top Bottom