Recent content by Facts

  1. F

    Ikulu yanuka ukabila?

    Salva jibu hoja acha matusi
  2. F

    Ikulu yanuka ukabila?

    Ikulu haijakanusha, bali imekuja na hoja za matusi. Kwa mfano, Ikulu inasema, " Isitoshe baadhi ya watu wanaotajwa katika habari hiyo kuwa walipata kuwa ama wako Ikulu kwa sasa kwa sababu ya kulindwa na Luhanjo, walikuwa Ikulu, wengine miaka mingi, kabla ya Luhanjo hajawa Katibu Mkuu Kiongozi...
  3. F

    Ikulu yanuka ukabila?

    Ni mtu wa RA huyu kama ilivyo kwa Luhanjo na Kikwete
  4. F

    Ikulu yanuka ukabila?

    Acha kumpakazia Kubenea. Yeye amenukuu tu, baadhi ya vyombo vya habari vilivyoandika kuhusu huyu fisadi wa NHC. Kwamba amepatikana kwa mizengwe. Sasa nakuambia ameteuliwa kutoka na nguvu ya Luhanjo. Huyu jamaa si mwadilifu kama unavyotaka tuamini. Alikuwa benki ya ABC ambayo ilitumika kupitisha...
  5. F

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Du! Kama kweli Zitto anauwezo wa kumpa gari Kafulila, basi huyu kijana kweli ni fisadi. Anapata wapi uwezo wa kumiliki magari yote hayo, wakati hata nyumba ya kulala hana? Acheni kumsingizia Zitto kwa mambo ya hovyo. Kafulila anataka kutumia mgongo wa Zitto kujitafutia umaarufu.
  6. F

    CHADEMA mwendo mdundo

    Karibu CCM Ndanda JUJU.......
  7. F

    CHADEMA mwendo mdundo

    HIi yote ni dalili kuwa kuna watu waliingia upinzani ili kuganga nJaa. Huyu Juju namfahamu. Anapenda madaraka kuliko Lowassa. Hata utambulisho wake kwamba yeye ni kiongozi wa Bunge ni dhihirisho kwamba ni mpenda madaraka. Huyu alikuwa karani katika idara inayoshunghulikia masuala ya Bunge na...
  8. F

    Yuko wapi Wilfred Lwakatare?

    Kumbe wewe umeuliza swali hili kwa lengo la kutaka kumdhalilisha Lwakatare? Huyu bwana amefanyakazi kubwa sana kule Bukoba katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimeshinda viti vingi kuliko hata hiyo CUF. Tusubiri tuone uchaguzi ukifika..
  9. F

    Kikwete amtosa Warioba

    YULE mwandishi wa habari mahiri, Saed Kubenea yupo nchini India akipata matibabu ya macho baada ya kushambuliwa na mafisadi na kumwagiwa tindikali mwanzoni mwa mwaka jana. Taarifaa zilizopatikana sasa hivi kutoka India zinasema mwandishi huyo anatakiwa kufanyiwa upasuaji katika jicho lake la...
  10. F

    Kikwete amtosa Warioba

    Sasa nimejua kwa nini Makala, yule mweka hazina wa CCM alimjia juu Warioba. Kumbe kulikuwa na kitu nyuma yake? Kubenea tunaomba utueleze huyo aliyehojiwa na vyombo vya dola ni nani? Au ni uzushi? Kweli vyombo vya dola vya bongo vinaweza kuhoji viongozi wa chama tawala? Sijui!
  11. F

    Pinda sasa ageukia mavazi awataka Watanzania kuachana na suti

    Acheni domo, tunataka utekelezaji. Tumechoka na usanii wenu. Pinda angejiangalia kwanza yeye kabla ya kurukia wananchi. Baadhi ya wananchi fedha wanazotumia kununua nguo ni zao wenyewe, wamezipata kwa kuuza ng'ombe na korosho. Lakini yeye na Kikwete wanatumia fedha za umma. Kabla ya suti...
  12. F

    Vita vya mafisadi vinapopiganwa na watuhumiwa wa ufisadi wa ccm!!

    Kwa kweli, kwa yaliondikwa hapa na hata kutamkwa hadharani wakati ule, JK hawezi kukwepa tuhuma kuwa amechangia uporaji wa maliasili za taifa. Na kutokana na serikali yake kushindwa kuvunja mikataba hii ya kinyonyaji au kuirekebisha, inadhihirisha kwamba JK huyu wa sasa na yule aliyesaini...
  13. F

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Tunamsubiri ajibu maswali yetu haya. 1. Kwa nini chama chake kimebariki ufisadi kupitia NEC. 2. Au huo ndio mkakati wa kulinda Kagoda (Rostam), Deep Green (Masha), Richmond (swahiba wake Lowassa)? Naingia kwenye mkutano, narudi kuweka maswali mengine...
  14. F

    Rais Karume Ajipanga Kujiongezea Muda Madarakani

    Hawa washenzi. Huyu Karume ni mwizi, hatuwezi kumuachia nchi. Aonndoke harakakaaaaaa
  15. F

    Pengo: Nchi imeoza!

    Haya ndiyo mambo!!!
Back
Top Bottom