Recent content by EstoJ

  1. E

    Mgomo wa wahadhiri UDOM wanukia

    tatizo watu wnalijadili hili swala kwa point za kidini... Hata kama viongozi wote wangekuwa waislamu lakini wenye uwezo wa kitaaluma na wa kiuongozi siyo tatizo. Tatizo ni pale watu wanapo pewa kazi za kitaalam kwa kuangalia dini zao... hapo hapafundishwi bible au quran hivyo sifa za kitaaluma...
  2. E

    Mgomo wa wahadhiri UDOM wanukia

    mimi siwahamini kabisa hawa waadhiri wa udom. Nafikiri wengi ni makanjanja ndiyo maana wananyanyasika mgomo uliopita walishindwa kusimamia msimamo. Wakawa wanaimba wimbo wa kuwa na imani na liwalo na liwe na dhaifu sasa sijui kama wanaweza kuuondoa huo uozo hapo hudom.
  3. E

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea kukiburuza Chama cha Mapinduzi (CCM) katika siasa, ambapo kwenye matokeo ya udiwani katika uchaguzi uliofanyika jana, chama hicho kimefanikiwa kutetea kata zake na kunyakua nyingine za CCM. Hata hivyo uchaguzi huo ambao ulifanyika...
  4. E

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Sisi wakristo vita yetu siyo ya kimwili bali ni ya kiroho! Hatuwezi kuchukua mapanga na mawe tukaanza kushindana na Muslims kwasababu tutakua tuna mkosea mungu wetu anaye tufundisha "..tuwapende adui zetu kama nafsi zetu..." umesema tunalia lia lakini atulii lii tunawapenda sana bse tunaamini...
  5. E

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Sipendi sana kuchangia mijadala ya dini lakini naona hapa unatakiwa uwe mwelewa kidogo hizi web ulizo weka hapa sidhani kama zinamilikiwa na MASKOFU. Ili uweze kusema jambo unatakiwa ufanye utafiti kidogo. mfano hii wikipedia ni moja moja ya sources ambazo siyo reliable kila mtu hata asiye na...
  6. E

    Je wanasiasa walioshabikia lolondo kwa babu tuwasulubu vipi?

    Wapo wengi walio chochea watu kuziacha hosipitali na kukimbilia kwa mganga wa kienyeji tena wkionywa kwa nguvu kubwa na viongozi wa kilokle na kiisilam. Wengine tulifikia mahali pa kuwatukana kuwa wanahofu ya kupoteza waumini na sadaka. Sasa ukweli umekuwa wazi kuwa walikuwa sahihi kabisa. Moja...
Back
Top Bottom