Recent content by escrowaccount

  1. E

    CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Mkuu akuban kisa kuombea amani taifa linaloelekea kumeguka?
  2. E

    Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Daktari mwenye degree anaeanza kazi take home ni tsh.960,000 na gross salary ni 1,300, 000 na mikoani wanapewa 250, 000 ya nyumba kila mwezi na call allowance ya si chini ya 100, 000 kwa mwezi.....so kwa mwezi take home si chini ya 1.3mil Ila bado ndogo sana ukiliganisha na kazi zao vs wabunge.
  3. E

    Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Bora aisee maana kabichi lina sumu.....cyanide kibao.
  4. E

    Ni chakula gani ulikuwa hukipendi ulipokuwa mtoto?

    Mimi ni maharagwe na karanga. Nakumbuka siku ya kwanza mm kula maharage ni siku nilikuwa nasafiri na baba... basi kaniagizia chai maandazi na maharage...ile nimekula vijiko viwili vya maharage nikapata kichefu chefu nikatapika balaa.... nikatapikia vyakula vya wateja wengine pale mezani...
  5. E

    Mama yangu kashindikana jamani, ameokoka, dini inamfanya kusahau majukumu yake

    ana ugonjwa wa akili unaoitwa.... 'religious grandiose' na ni vigumu sana ya yeye kukubali kuwa anaumwa, so sidhani hata kama atakubali kumuona daktari.
  6. E

    Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

    kwa siku 200,000 (200,000 mara 28 ni 5,600,000) plus 3,000,000 mnayopeana mwisho wa mwezi plus 700,000 ya mshahara jumla kwa mwezi ni 9,300,000 kwa miezi miwili ni Tsh. 18,600,000. duh hongera sana huwezi hata kutunga uongo.
  7. E

    Binti kamwaga ugali, wakuu na mimi nimwage mboga?

    ww hatari zaidi ya HIV, TB na UKOMA kwa pamoja. ukitoka na msichana outing hata km ni night club haimaanishi ni mpnz wako. alafu iweje umnyime kazi kisa kakukataa? nampenda huyo demu coz anajiheshimu. mbumbumbu ni wewe.
  8. E

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    akaongee nao waache mgomo wavumilie oktoba ifike waichague ukawa ili iwatatulie shida zao....... i am just thinking.
  9. E

    BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    mkuu nenda kwa sonara yeyote hapa dar.
  10. E

    BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Nimekuta mahala hii Sarafu yetu ya TSH 500, inauzwa sh 2500 hadi 5000 ili ipelekwe kwa masonara ili kuyeyushwa na kutengenezea mikufu ya silver. Bank kuu wanasema taarifa hizo wanazo na wanalifanyia kazi ili kubaini maduka yanaouza mikufu iliyotokana na sarafu ya 500
  11. E

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    na vodacom si ingekufilia mbali mazee....tuache kujenga chuki kwa data za kutunga..... na mbona hujatuambia taifa lilipoteza kodi kiasi gani?
  12. E

    Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    baadae wakati naomba kabla ya kulala ntakuombea kwa mungu uyo mkeo akuache.
Back
Top Bottom