Recent content by Escherichia Coli

  1. E

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    TBC nao wanamtumikia nani kwa faida ya nani??
  2. E

    Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    TBC nao wanamtumikia nani kwa faida ya nani??
  3. E

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Ninasikitika kwamba hiyo taarifa siyo ya wazungu,ninatamani mataifa ya magharibi yangedeclare kutompenda Lowasa ili furaha yangu ya kumchagua iongezeke!!!!!Sitamani kuwa na rais atakayetunukiwa Phd kwa gharama ya gas yetu.
  4. E

    Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

    Lengo la mageuzi siyo kugawana wizara wala wilaya!!Serikali ya UKAWA itapunguza ukubwa wa baraza la mawaziri na kufuta cheo cha mkuu wa wilaya.Tabia ya kugawana vyeo badala ya majukumu ndiyo iliyolifikisha taifa hapa lilipo.
  5. E

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Tuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa haki kama taifa!!Ni kweli kuwa kiongozi wetu akituhumiwa anapaswa kukaa pembeni kama alivyofanya Lowasa,ingawa Magufuli hakufanya hivyo.Anakaa pembeni ili kutoa nafasi ya kuthibitishwa au kukanushwa kwa tuhuma hisika baada ya uchunguzi.Sasa bwana...
  6. E

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Kwamba mgombea hapaswi kuwa na tuhuma; sijaelewa uhalali wa Magufuli pia kuwa mgombea kwa msingi huo.
  7. E

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jamaa sijui kawaza nini,ameongea kama anazungumzia kitu halali kabisaaaa!!Hawa wagombea wa CCM ni janga kubwa.
  8. E

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Nilipata bahati ya kuwa katika kijiji cha HAYDOM,wilaya ya MBULU wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa nipo TARIME VIJIJINI kwa kwa zaidi ya miezi miwili.Ninashindwa kuelewa hivyo vijiji ambavyo CCM wanaamini watu wake wamebaki na akili za zamani ni vijiji vya wapi????
  9. E

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Hawana utaratibu wa kupiga kura za siri kupitisha wagombea wao miaka yote siyo leo tu!!
  10. E

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Watu mnaogopa kuwapokea watu eti waliiba kura 2010!!Tume yetu bado siyo huru na wizi wa kura utakuwepo,hao waliowahi kuiba kura wanaweza kuwasaidia namna bora ya kupambana na wizi wa kura kuliko mnavyofikiri ninyi!!
  11. E

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    MTAMA ni jina la jimbo.
  12. E

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    Kushabikia CCM inabidi uache kushirikisha ubongo wako au ubongo wako uwe dhaifu!!!Mtu anauliza eti unajuaje kuwa mtu anataka kuhonga kabla hajahonga????CCM bila rushwa haiwezekani,Mangula alilitambua hilo akatuliza mzuka alioingia nao.
  13. E

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    Kwamba alikuwa akishirikiana na Zitto na Slaa kupanga mikakati MIBAYA na mizuri kwa nchi!!Wakati wote huo DHAMIRI yake ilimruhusu lakini uteuzi wa wakristo watupu na kuvuliwa nyidhifa kwa Zitto na Kitila dhamiri imekataa.Bado tuna tatizo kubwa sana ktk siasa za taifa letu.
  14. E

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Achilia mbali 0 unapata leaving certificate,Mwinyi hakufika kabisa!
  15. E

    Kutoka Kigoma kaskazini

    CDM wakishindwa Kigoma kaskazini,atashinda Robinson Lembo wa CCM.
Back
Top Bottom