Recent content by Epu

  1. E

    Natafuta gari la kununua - fielder, spacio, nadia, opa, ipsum au wish

    nina spacio new model, namba inaanza na B, rangi nyekundu, ina ac na kila kitu. Bie 8.5M...Mawasiliano 0769 101337 uje uone mwenyewe km upo serious. Nipo Dar
  2. E

    Nafanya Translations kwa bei nafuu

    Habari wana Jamii Forum, ninafanya translations za documents mbalimbali toka kwenye lugha ya kisw to Eng au Eng to Swahili. Charge yangu ni nafuu sana Tsh 7,000 kwa page/kurasa. Karibuni sana. Mawasiliano 0769 101337
  3. E

    Zantel internet

    Hello wadauu. kwa wale wanaotumia moderm ya Zantel, je ni namna gani mnaweza kununua buddle la maybe elf moja la 50mb kirahisi? najua kuna maelezo online au ukiuliza but naona ni lazima uwe na line nyengine ya airtel then ununue kwa namba ya moderm kupitia ile separate line ya zantel. je kuna...
  4. E

    Mkopo akiba Saccoss

    Habari wana Forum katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Akiba saccoss, wanajieleza kuwa wanatoa mikopo ya haraka...sasa wana Forum ebu ingieni link hii chini muwasome na mniambie hii kitu ni kweli au sio. na kuna alopata msaada kupitia huduma hii? Wapka.mobi Asanteni
  5. E

    Wanaouza au kutengeneza tshirt za cotton wanahitajika

    habari wadau, kama kuna anayewafahamu wanaotengeneza Tshirt za pure organic cotton naomba link yao, kwa maana ya website tafadhali. kampuni iwe Tanzania. asante sana
  6. E

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    Mimi kwa kweli nawatreat vizuri sana kama hivyo ilivyoulizwa ingawa si kwa vyote kama bima ya afya bado kwani huwa nawapeleka hospitali pindi wanapofika tu nyumbani kwangu, but the challenge is huwa wanawafanyia kazi vizuri 100% kama mnavyotaka? huwa mnawafundishaje? maybe mimi sina uzoefu wa...
Back
Top Bottom