Recent content by enhakkore

  1. E

    Kang'ombe, Aliyechoma Masanduku ya kura Shinyanga, ateuliwa kuwa Katibu Tawala Singida

    Jamani kisa hiki kinauma na kusikitisha, kama ni kweli basi Mungu amsaidie kujua na kutubia uovu huo
  2. E

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Nitumieni jamani nam hapa psabaga09@yahoo.com
  3. E

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Hapa hujanitumia mkuu,tafadhari josolomon13@yahoo.com
  4. E

    Uchunguzi wamnasa Mkurugenzi TANESCO; Bodi ya Jenerali Mbona yatishia kujiuzulu

    hiyo si kweli.Jen.Mboma ana historia si nzuri saaana jeshini.ukitaka kuelewa zaidi kaongee na wanajeshi waliokuwepo wakati wa utawala wake hasa katika tenda za maduka ya jeshi.Aliweza kuchakachua sana maduka yale na askari wakawa hawana pa kupeleka malalamiko yao.Tafakari
  5. E

    Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    Ni vizuri kwa na viongozi wenye kujua wanachokifanya kama hili jembe, tuzidi kumwombea uzima mana bandarini pamekuwa ni kero kubwa kwa muda mrefu wakati pakiboreshwa patatufaa sana kukuza uchumi wetu.
  6. E

    Hatima ya ubunge wa Opulukwa leo

    tunasubiria kwa hamu kujua
  7. E

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Nimesikia mahakama imetengua ubunge wa Godbless Lema,sijui kama ni kweli ,inasikitisha sana
Back
Top Bottom