Recent content by Emma Kayanda

  1. E

    Nani mgombea wa Upinzani katika jimbo la Ilala?

    Hayo ni maneno tu, kwan wao hawana moyo wa upendo wa kumpenda mtu? Kila mtu na nafsi yake na sio mbaya ukionesha hisia za nafsi yako kwa uwazi kuliko kuwa mnafiki ukaonesha kwa kuendeshwa na njaa, uhuru wa mtu kuchagua upande umfaao uheshimimiwe.
  2. E

    Kuhusu Lowassa kwenye Power Breakfast ya Clouds FM

    Cku hazgand kesho itafika tu
  3. E

    ACT - Wazalendo yafanya mkutano mkubwa Tabora Mjini

    Chombo walikitupa kimeokotwa na wengne achen wakitumie, kwann bdo mnawashwa washwa kukichungulia? Aaaaarrrgh mnakera bwn kaen kimya
  4. E

    Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    Wanamuongezea muda ili iweje? Ikishndkana sana ye asepe afu kwa muda tuwe chini ya jeshi nyambatu
  5. E

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Kelele zote hzo nashukuru ndg zangu wa huko kijijin hawazipati ila kampen zikianza ntarud nikawaelekeze mazur na ubora wa Lowasa lazima wampatie kura zao zote
  6. E

    Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Hakuna jipya tamthilia inaendelea
  7. E

    Zijue sababu za kustusha zinazosababisha wilaya ya Njombe kuongoza kwa UKIMWI Tanzania

    Ngoja niwasiliane na kaka wa Mkoa wanamuita Shukuru Lutilage a.k.a (TFF) atakuwa na data kamili
  8. E

    Simiyu: Kamanda Ramadhan J Mayenga wa CHADEMA afariki Dunia

    Kifo cha kamanda huyu ni pgo lililoacha pengo kubwa ktk kijiji na familia kwa ujumla hakika kijana alikuwa ni tumain jipya la watanzania R.I.P Ramadhan
  9. E

    Simiyu: Kamanda Ramadhan J Mayenga wa CHADEMA afariki Dunia

    Hatupo nae kimwili, bali kiroho na fikra zake ataishi nasi milele na milele,
  10. E

    Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    Wasira?? Mi nitaomba kuhama nchi mpaka pale atakapo maliza uongoz wake ndo narudi
  11. E

    Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

    Huyo ndo manyau nyau utamtaka tu
  12. E

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Haya sema tumpe nani? Unapopinga ni vyema ukamaliza kwa kutupatia mmbadala wa tatizo sio unaondoka kimya kimya.
  13. E

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Hakika wewe ni great thinker umeitendea haki akili yako na maneno yaliyokutoka yanastahili kuwa hapa Bg up mkuu
  14. E

    Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    EL ni nyati aliyejeruhiwa atafanya kaz kwa umakin wake wote ili kuudhihirishia umma kuwa yaliyomkuta ilikuwa ni mchezo mchafu wa kisiasa. Hakika Lowassa ndo anatufaa 2015 wengne sion, zaid sana tukiwapatia fursa watataka kujifanyia yao kwn hawana cha kuwa prove wrong watanzania
Back
Top Bottom