Recent content by Emecka

  1. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Tatizo jamaa baunsa hata nguvu za kumshika zinaisha kabla sijamshika. Ningekuwa na ubavu wa kumkaba wallah ningembaka aisee kwa jinsi nilivyo!!!
  2. Emecka

    Mume wangu ananinyima unyumba

    Pole sana dada Monika2, mdogo wako mie pia napitia hali kama yako. Soma ushauri wa member hapa pia upitie na ushauri kwenye thread yangu. Tena naona tulianzisha jana kwa pamoja. Kisha changanya na zako ufanye maamuzi.
  3. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Unamaanisha niwe naliangalia asubuhi na jioni na kuishia kulitamani sio???
  4. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Ni muono wako, asante kwa kuchangia. Lakini hujalazimishwa kuchangia wakati unaona kabisa story ni fake
  5. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Tafadhali rejea swali la BILGERT. Pole, nikajibu "Asante" Ndoa ina muda gani? Nikajibu "Miezi 9" je tuna watoto? Nikajibu "tunatarajia mwezi ujao". Bado hujanielewa ndugu yangu?
  6. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Angalia avatar. Je inawezekana mwanaume akatumia avatar ya kike?
  7. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Ndugu yangu nimejishusha mpaka basi, hadi nahisi namkera kwa kujishusha kwangu nimeamua kufa na tai shingoni.
  8. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Ndugu yangu acha tu, nimebakiza kula kwa macho. Ningekuwa na nguvu za kumbaka aisee ningembaka, make naishia kumtamani tu. Kitanda kimoja, shuka moja bila ku do ni bonge la adhabu. Najitahidi kujikausha lakini nazidiwa, ushauri wako ni muhimu sana kwangu
  9. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Asante, miezi 9. Ndio tunatarajia mwezi ujao.
  10. Emecka

    Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola! Sifikirii kuwa msaliti, nafikiria kufanya maamuzi magumu ya kujiunga na chaputa. Msaada jamani
  11. Emecka

    Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

    Yaani hata mie imenibore thou sio muajiriwa. Ila kwa kiasi fulani.
  12. Emecka

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    Mkuu unafikiri mimi ni mjinga kiasi ya kuja kujifurahisha hapa jamvini?? Napoteza muda wangu kiasi gani kufatilia huu uzi??? Anyway asante kwa namba
  13. Emecka

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    Mkuu unaweza ukadhani ni utanu lakini sivyo hivyo... Nimetizama mara 2 mbili na hata nikaomba na msaada wanisomee digits ni sh. 25,000/=
  14. Emecka

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    Mkuu soma post yangu, ni week tu imepita tangu nimenunua umeme kwa mara ya mwisho
  15. Emecka

    Msaada wa haraka: Nimenunua LUKU kwa sh. 25,000 nikapata units 10

    Habari zenu Wanajamvi ni jambo la kushangaza nimenunua LUKU kupitia mobile banking transaction kwa sh. 25,000/= cha ajabu nimepatiwa units 10 tu. Kwanza sijaona ile breakdown kama ambavyo nikinunua kwa M pesa au Tigo Pesa ila units zimeingizwa moja kwa moja kwenye mita. Hivi kuna namba za...
Back
Top Bottom