Recent content by Ellen Lacha

  1. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Kuna mkaka mmoja aliwahi kuleta thread umu...eti siku maid na wife walitoka.aka amua kwwnda kusearch Kwa maid rum cz Hawa iniki Hawa.kufka akakta chini ya godoro kaweka mivtambaa ya hedhi kairundka inanukaa alafu kna kimkeka kdogo kakvikunjia umo na soxy za hyo Mr!his favourite!.. maskin mkaka...
  2. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Hapo sasa.wanawake tunajisahau saana..ukishavshwa Pete tuu unajiona mwisho Wa mambo..na uku ndoa inatakiwa kuchochewa mapenz kila siku..wanaume watu complicated saana ukijisahau utawaskilizia..inatakiwa kila mmoja a play role zake na ndio maana tuna ambiwa mwanamke hekma ..cz bla kutumia akili...
  3. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    We ita vyovyote bt ukweli nishakupeni kama kuambiwa ukweli ni utraffic bas sawaa
  4. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Sawa mtabiri yahaya ngja nisubiri znirudi fahamu..
  5. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Mimi sio Dr..am marketing manager so hakna cha ajabu hapo Ku miss spell a biological term ...hahahaaaha maskini yeah bwana ole relax am signing off wahi hospital sasa ukatibiwe hako kamsongo kasije kakasababisha hyo brain nini sjui uko bdaeee ..naamini wewe ni nurse so kumuwahi Dr sio ishu saana
  6. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Guess umeshajijibu mwwnyewe nani nuts btn us
  7. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Mtu nimecheka tuu kuashiria piece.. he povu lishakutoka jamani!inferiority complex deal with it by yourself.. kumbe nyie ndo hamujiamini thats why mmekazania kila ktu ooh hawajiamini cz nyie hamjiamini mnadgani wote hivyo hivyoo..kweli nnakupa msongo Wa mawazo naona ata nikikatza tuu una...
  8. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Kamwambie huo u.p.upu hyo mkeo wa chumbani tuu akitka sawa na wengne hapa umenoa lol nilidhania nimekupaka ukweli ukszndka sasa naona hao fe wwnzako wamekupa u.pupu umezirai tna hvi haujishtukii..hakna mwanaume timamu ata mmoja anaekusupport ni wanawake tuu jamani no wonder you think like them...
  9. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Haah hvi wewe ni male eeh?kwikwukwiii ok nilidhan female that's why nimekujibu kama female manake ideology zako ilikuwa ngumu saana kufkiria ni mwanaume kwwli anaeza kuwaza hvyo..mwanaume upewe msongo Wa mawazo na mwanamke etii ukashtaki dawati la jinsia!..mtumee sasa nakupata vzuri nilikuwa...
  10. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Wanasemaga wastage wewe -----...utabakia hvyo hvyo kushangaa wenzako wanajaliwa unaponda watu wengne jamaniii..yaani mtu unashauriwa jinsi ya kujipa value Kwa mumeo una tishia kushitakii khaa ..mawazo yako yapo uko uko kingono ngono tuu no wonder eti kuingilia mpaka mwanaume mwenzie aki....nyie...
  11. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Bora wewe unaongea point na umezpanga..mijanamke mingi mivivuu that's why inaishia kuwaabudu ma maid cz wamewazd uchapakazi.hvi kupika knakushnda mfanyakaz akupikie,amuandalie mumeo nguo ..khaa ata mie ningekuwa mwanaume lazma nimkingie kifua unafoka nini?bt kama inajitma hakna mwanaume chiz...
  12. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Mwanaume kuingilia kati inategemea na how strong bond yako na mumeo IPo..mwanaume anae kupenda ataumia unapoumizzwa,atakereka unapokereka,atakwazka unapokwazwa tna sometimes anaeza kureact zaidi ata ya wewe..sio matter ya kutjiamini au vpi hapo.
  13. E

    Wasichana wa Kazi na akina mama, Tatizo nini?

    Sawa olei samahanii...kna post siikumbuki dzain kama ulinidiss hvi bla kuniambia nimekosea wapi and there is where nika anza na mie kurudsha hzo terms. am sorry bro wala sikuchukulii hvyo naongea tuu katka kueleweshana mbna una terms za kisomi wala usinikeep in mind that was just trying to swing...
Back
Top Bottom