Recent content by Elifuraha mwandu

  1. Elifuraha mwandu

    Rais hajiulizi kwanini wanaomsifia ni wateule wake tu na si makundi ya Wananchi?

    Wanatetea ugali wao hata wewe hapo ukipewa kitengo huo mdomo utaufunga
  2. Elifuraha mwandu

    ACT Wazalendo yazidi kuiteka Tanzania

    Ulivyoamka asbh ulikumbuka kwenda haja ndogo au bado unaota
  3. Elifuraha mwandu

    Nini sababu ya Polisi kujihusisha na vitendo vya wizi?

    Majambazi wengi wamejificha kwnye maguo ya kipolisi
  4. Elifuraha mwandu

    Mbowe akifungwa CHADEMA inakufa?

    Nani kakuambia chadema ni mbowe?
  5. Elifuraha mwandu

    Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    Sipati Picha 2025, kama kiti cha spika ndo hiv
  6. Elifuraha mwandu

    Serikali iwalipe fidia wafiwa wa Marehemu wa kwenye Hiace

    Haya magari ya serikali yanaongoza kwa uvunjaji wa sheria barabarani, wakichukuliwa hatua itapendeza
  7. Elifuraha mwandu

    Nini kinawaliza Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM?

    Wanalia kwa sababu wanasemewa nchini mwao!
  8. Elifuraha mwandu

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Skafu mbona ni vazi tu kama mavazi mengine! Mf Tai Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Elifuraha mwandu

    Ummy Mwalimu na Magufuli awamu ya Tano imeua sekta ya afya mmebaki kuzindua majengo yasiyo na vifaa, wataalam, wala madawa. Mnaua wananchi

    Kipaumbele chetu ni ndege na kununua wapinzani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Elifuraha mwandu

    Je, Zitto atakamatwa leo katika uwanja wa ndege wa JKN?

    Wataficha sana ila zitto yu sehemu yao Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Elifuraha mwandu

    Dr. Mashinji aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema sasa ana cheo gani?

    Atapangiwa kazi nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Elifuraha mwandu

    2020: Mwaka wa vilio na kusaga meno kwa CCM na wanaCCM wote

    Kwa Tume ipi upinzani ushinde? Hapa bila Tume huru ni kazi bure Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Elifuraha mwandu

    Nini kifanyike Mbowe kugoma kuachia ngazi CHADEMA kinyume Cha katiba ya CHADEMA?

    Wanachama wako kimya sijui unawashwa nini
Back
Top Bottom