Recent content by eddiy

  1. eddiy

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Nimeshtushwa kwa kupotea Roma na wenzake

    Muongo unajua walipo huna hata huzuni Mwinguli
  2. eddiy

    Maalim Seif kutua Arusha kesho kumtembelea Lema gerezani

    Wacha zako hufai na huna maana upo kama Fedhuli Mjinga.
  3. eddiy

    Mungu Mkubwa! Afrika yetu yote kujitoa ICC!

    Mtoa Mada anahitaji angalau apate darasa la saba. Naona yupo kwenye GIZA.
  4. eddiy

    Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

    Hakuna liwalo ni Muwacheni Apumzike. Kafanya na ataendelea.
  5. eddiy

    Kwanini makampuni makubwa ya mafuta SHELL na BP yalijiondoa kufanya biashara Tanzania?

    Wanaondoka hata British Airways hawapo labda ni hasara.
  6. eddiy

    Tujikumbushe: CUF Walipoamua Kumtambua Karume

    Haya yote yanatokana na na siasa za chuki tukubuke Zanzibar kila uchaguzi hutokea mauaji na husababishwa na Serekali sasa kuepusha hayo na sasa walivyo kubaliana ni lipi bora tuipongeze CUF kwa ujasiri wao wa kuepusha madhila na maonevu.Hakuna aliye watetea wakati wanapopata madhila hayo :Adui...
  7. eddiy

    Ndoa ya CCM-CUF Visiwani: Ishara ya CUF kuwa 'CCM-B' huku Bara

    Yamani hebu tujiulize CUF ina kiti gani cha Ubunge Bara.Wazanzibari wao wamekiunga mkono kwa hali na mali hata kupoteza maisha yao kwa CUF sasa tujiulize Bara tuna nini na wakaazi wa Bara wanafikiria nini JE? tunahitaji UKOMBOZI kama Wazanzibar au tuendelee hali halisi ? naamini CUF itaendelea...
  8. eddiy

    From Zanzibar: Kura za Maoni Shwari!

    Sisi wengine tupo mbali hivyo hakuna aliyeko Pemba angalau akatupa ya huko?
  9. eddiy

    Elections 2010 Wasanii Nyota wa Bongo Flava wachangia CCM

    Kwa kweli inastaajabisha hata siamini hivyo hawa wanafahamu au ndio usinii wao ndio wanataka kutopoteza watanzani aibu kwa kweli na hawana maana tena nina wasi wasi tusije tukamuona na MRISHO nae yumo humo.:angry:
  10. eddiy

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    huna la kusema Amandla katafute gazeti la UHURU usome huelimishiki na hutoelimishika.
  11. eddiy

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    kama kutanguliza utumwa basi hii leo Obama asigelikuwa Raisi wa Dunia wacheni Fitna za utumwa leo hii jitizame nani anakuumiza?
  12. eddiy

    Fisadi wa CUF huyu hapa...!

    Ndugu yangu Deganche2008 huayajui ni mamgapi yaliyotokea TANZANIA ccm mamefika kuua wewe upo wapi hujui kitu ndugu yangu sio tutizame Muhuzi tu ile ndio CUF MTU NI KUWAJIBIKA sio kulindana ukae ufahamu .
  13. eddiy

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mimi naongezea tu na kifo cha Makamo wa Rais Hayati Muheshimiwa Dr Omar Juma inasadikiwa Mkapa ndie chanzo cha kifo chake naomba na hili litiwe pindipo akifikishwa mahakamani kwani kuna utata wa kifo chake.
Back
Top Bottom