Recent content by echonza

  1. E

    Hatimaye nimejiunga rasmi CCM na kupewa kadi ya uanachama!

    "CCM ni chama chenye uhuru wa mawazo na fikra kulinganisha na vyama vingine". Huo ni mtazamo wako maana hata maelezo ya uhuru wa mawazo na fikra nao unatokana na namna kiwango cha uelewa wako kilivyo. Hakukuwa na sababu ya kusema ama kulinganisha vyama katika uamuzi wako. Maana mwisho wa siku...
  2. E

    Rakesh wa KULEANA – HAKI ELIMU na sasa TWAWEZA ni KIVULI cha nani?

    Uchambuzi dhaifu huu, maana hoja zote alizotumia mwandishi wa nyuzi hiyo ni dhaifu na wala hazijaangalia upande wa pili wake. Mathalani; hivi mwalimu anapozuiwa kumchapa mwanafunzi kwa sababu ya kufanya kosa fulani na akaruhusiwa kumpa adhabu nyingine ya kufanya kazi za mikono hupuwa ruhusa ya...
  3. E

    Hongera JK kwa kututoa katika Umaskini duniani! ila bado ....

    Ningependa pia kukumbusha kwamba, viashiria vya uchumi kama vile total GDP, per capita income (PPP) vimekubalika kimataifa kwa kusudi moja kubwa na la msingi. Ni kuwezesha ulinganifu wa uchumi wa mataifa mbalimbali duniani. Ndiyo maana hata wewe mtoa mada hiyo ukaongelea Tanzania kuwa karibu na...
  4. E

    Hongera JK kwa kututoa katika Umaskini duniani! ila bado ....

    Definitey yes, we cannot judge our life standard by looking on the per capita income figures, which are just average estimates. How if the total GDP is possessed by a few people in the country (which is true for our country)? Those commending Kikwete for the rose of per capita income in the...
  5. E

    UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

    Haiwezekani utawala wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wajifanye hawaoni madhaifu ya kiongozi wetu huyu, hasa yanapokuja masuala ya kiuchumi. Taifa linakumbwa na janga la kuporomoka kwa viashiria vya uchumi (mfumuko wa bei, kukosekana kwa nishati, uzalishaji viwandani kudorola, ajira kuwa tatizo...
  6. E

    Ungepewa nafasi leo kumshauri Jakaya Kikwete ungemwambia nini....?

    Kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatakiwa atambue wajibu wake kwa umma na awe tayari kubema majukumu yote hayo kwa uzalendo usio na dosari. Hivyo basi, suala la kwanza kulitazama ni hali mbaya ya uchumi wa nchi yetu. Bei za vitu imeongezeka kwa wastani wa maradufu kwenye uongozi...
  7. E

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Wawakilishi wengi wa wananchi, hasa hao wafanyabiashara walio wengi ndani ya chama tawala ndiyo tabia na kimsingi upinzani umekuwa uliyasema hayo sana. Nakumbuka Mhe. Zitto akiwa anahutubia wananchi, alitoa historia kubwa kuhusu rasilimali Taifa lilizonazo na akamalizia kwa kusema, haisezekani...
  8. E

    King Cobra(Prez SATA) bado anang'ata Mafisadi huko Zambia

    Mr. Sata is the role model of the highly needed patriotic leaders of the African States. In just less than 30 days of his being in power, the man has done a massive and key decisions for the benefit of Zambians.
  9. E

    CUF kwa nini tumefanya vibaya sana katika uchaguzi mdogo wa Igunga

    Ni maneno ya kiungwana kabisa kukubaliana na ukweli. Hata hiyvo, ndg. Mtatiro bado kazi unayo kama kweli chama chenu kinayo dhamira ya kufanya siasa hapa Tanzania Bara. Kama ulivyodokeza hapo juu, hakika u-CCM B itakuwa kazi kubwa na ngumu kuuondoa katika fikira za wananchi, hasa ukizingatia...
  10. E

    Tanzanians need a leader who can do like president Sata in Zambia.....read this article please!!!

    Kama ndiyo ameanza kutekeleza ahadi zake alizozitoa kwenye kampeni za uchanguzi vyema. Hata hivyo, inahitaji mtu mzalendo na jasiri kutoa amri za chunguzi kubwa kama hizo. Hata hivyo, nahofia kama mfumo wa sheria nchini Zambia ni imara kiasi kwamba, wale wote watakaokutwa na hatia kwenye...
  11. E

    Hotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania mwezi Septemba 2011

    Kiongozi wetu hajui dira yake katika kutufanya tuwe na maisha bora aliyoyasema mwaka 2005. Yaani hajui cha kutuambia anaotuongoza na bila shaka sasa hatuwezi kufika tuendako badala yake kuishia shimoni! Inasikitisha na inauma sana sana.
  12. E

    Hotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania mwezi Septemba 2011

    Mkuu wa nchi unapoona anatoa Hotuba ya jumla jumla tu pasipo kuangalia masuala yanayowagusa karibia asilimia 95 ya watanzania ujue hapo kuna tatizo. Inakuwaje sasa hivi tuna tatizo kubwa la uchumi wa nchi kuwa dhaifu (kwa sababu ya bidhaa kupanda bei, sukari kukosekana kwa makusudi, ajali za...
  13. E

    Elections 2010 Magufuli atoa rushwa kuisaidia CCM Igunga

    Hiyo ni rushwa ya wazi wazi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, maana IIlani ya uchaguzi iliandikwa mwaka jana na kimsingi si lazima waseme mawaziri wa ujenzi kuhusu ujenzi wa barabara ama Maji kuhusu kuwapa maji wananchi.
  14. E

    Rage apigwa faini kwa kwenda na silaha mkutanoni

    Wengi wa wana CCM akili zlishakuwa na ganzi kwa sababu ya mfumo ganzamizi. Hivi watanzania wangapi wana silaha nchini na bado huwa hatuwaoni kutembea nazo? Je, tukiwa tunatembea na silaha viunoni hadharani kweli tutafika huko tuendako kama Taifa? Sasa utaona huyo huyo Nape amepewa cheo hasa kwa...
Back
Top Bottom