Recent content by Dr.Mboya

  1. D

    Muhimbili Kulikoni? Waziri wa Afya ndio dhamana ya Hospitali Kuu ya Muhimbili

    Acheni siasa za Maji machafu tujadili mbona mambo yako poa tuu wewe unasoma tuu kwenye gazeti unaamini mbona wagonjwa wanatibiwa vizuri tuu na gharama zimekuwa kama zamani nyie endeleeni na kwenda hospitali za private muendelee kupigwa pesa
  2. D

    Madaktari wa Kitanzania wajitolea kwenda Siera Leon na Liberia kutibu Ebola

    Mbalamwezi umenena kweli kule Kwa siku no zaidi ya BMK watu wanalamba dola 400 hadi 600 kwa siku Kwa bongo ni salary ya mwezi na nusu Kwa nini watu wasijaribu
  3. D

    Madaktari wa Kitanzania wajitolea kwenda Siera Leon na Liberia kutibu Ebola

    Ni akina nani maana mfomo wetu Wa afya ni dhaifu kiasi kwamba hata ukiambukizwa huko utakufa kivyako wala hamna life insuarence labda watakao enda ni watu na njaa zao za pesa maana hapa bongo professional ya medical hailipi kabisaaa.
  4. D

    Barabara ya Morogoro

    Napenda kuwauliza wenzangu hivi Kwa tathimini yenu ndogo kweli itasaidia kupunguza foleni au ni shida tuu Leo nimekaa kwenye foleni masaa matatu.Mimi Kwa uelewa wangu nashauri magufuli awake flyover kwenye traffic light wananchi tunapata tabu sana jamani.
  5. D

    Hivi ni biashara gani hapa Tanzania una faida sana wadau

    Mimi ni Mtoto wa mkulima naomba mnieleweshe ni biashara gani rahisi ya mtaji around 5 mil.nataka ambayo utakuwa endelevu.asanteni
  6. D

    Makazi ya Kisasa: Tanzania kama Ulaya! Hongera JK, Prof. Tibaijuka, Mchechu, NHC! Wakubeza bezeni

    For sure hawa NHC lazima watafilisika tena baadae serikali itabeba deni hilo kubwa sana Kwa hiyo nashauri watu wawe makini kununua Nyumba hizi za bei hii
  7. D

    Chuo kipi Tanzania walimu wanalipwa vizuri zaidi kuliko vyuo vingine?

    Acha chai mbona haujataja hiyo mishahara tumia akili ukifanya kazi popote lazima upate pesa
  8. D

    Sanitas medics and diagnostics hospital mikocheni baraka plaza

    Mjini ujanja hata hawa sanitas ni wajanja wa mjini tuu hamna kitu pale
  9. D

    PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

    Acha tuu hii mvua adabu kwangu Maji yalijaa balaa kila kitu kimelowana
  10. D

    Hivi MIPANGO MIJI mnawazimu..??!

    Kweli kabisa inatia aibu sana
  11. D

    Mafuriko yafunga barabara Morogoro

    Poleni sana hayo ndio matokeo ya kuharibu ecologia ya dunia
  12. D

    Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

    sasa ni zipi taratibu za kujiunga
  13. D

    Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

    Naomba wadau mnieleweshe huu mfumo unafnya VIP kazi hapa bongo land je ni salama ukilinganisha na TT
  14. D

    Siku ya kinywa Na meno duniani

    Wadau hebu jiulize umeshuriki VIP katika siku Hui athimu ya kinywa Na meno je umeshawahi kwenda kwa daktari was kinywa Na men I kwa ajili ya uchunguzi.ninawashauri muwe Na tabia ya kuchunguza afya zenu Mara kwa mara
Back
Top Bottom