hii ndio sharia iliyotumika na Serikali kuchukua uamuzi huo. Alitakiwa kuwasiliana na Serikali kupitia wizara ya Afya ili Serikali nayo ione kama upo umuhimu na pia ijipange Kwa ajili ya kukabiliana na tatizo. Pia kuangalia na ukubwa wa tatizo lenyewe.
Kwanza mkutano wenyewe na waandishi wahabari kafanyia nyumbani kwake na sio ukumbini kama alivyofanya msaliti Slaa mzee wa kulala kwenye gari. Pili kifo cha mtikila sio kwamba yeye Mtikila alikuwa na expire date kwamba muda wake wa kufa ulikua haujafika. Hiyo ni ajali kama ajalia nyingine. Kwa...
Mwl. Nyerere aliwahi kusema ni hatari sana kuwa na kiongozi anayamini ya mkewe. Mnakubaliana jambo kisha akienda kulala na mkewe kesho kaja na jingingine. Huyu Mzee ni majanga.
Msaliti ni msaliti tu. Kama alikua anayataka mageuzi na ndio tunakoelekea yeye anajitoa baso ni wazi huyu mzee nae alikuwa na uchu wa madaraka tu. Hata kama angepambana na Magufuli asingeweza kumshinda. Tayari alishakua nje ya lkwa muda mrefu. Akapumzike tu aendelee kula hako kabilioni 7 kake...
Devid Mosha kuchukua jimbo la Moshi mjini ni sawa na ndoto ya MGAMBO KUWA POLISI. Sisi ndio tuliozaliwa Moshi na kukulia Moshi. Kama unataka kuijua Moshi vizuri muulize Mama Minde. Alifaziliwa na shemeji yake Ben Mkapa akiwa Rais wakati huo. pamoja na kumwaga hela nyingi lakini alikuanguakia...
Huu usajili kupitia dirisha dogo unaofanywa na MACCM unachekesaha sana. Eti Letisia Nyerere, Halfi wote hao ni majeruhi hawana jipya kabisaaaa. Mziki uko hapo kwa Edo (EL). Subiria muziki wake hapo kesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.