Recent content by DianaKiboko

  1. DianaKiboko

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Uncle wake Dowans hajapona kwa babu?? whaaaaaaayyyyyyyyyy,,,,,, this is so sad Dowans, enewei sio shida cheki ya $96 million ipo atakuwa well taken care of,,,:wof: :rolleyez:
  2. DianaKiboko

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Sawa Rost, ni kweli haitibu ugonjwa wako wa DOWANS!!!:nono::nono::A S-cry:
  3. DianaKiboko

    Kiboko ya Lowassa Afariki Dunia

    hahahaha, una lako jambo...:scared::biggrin1:
  4. DianaKiboko

    Chadema ndani ya Bukoba

    [/B][/I] Kiwi, nobody could have said it better!!!!!! I salute you! Nimeyaandika haya maneno yaliyo bold kwenye note book yangu na ninayakariri kwenye ubongo wangu. Asante:first:
  5. DianaKiboko

    Chadema ndani ya Bukoba

    AMEN KIWI !! :amen::wave:
  6. DianaKiboko

    Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

    Kumbe ana akili!! LOL:A S 13:
  7. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    Kilimasera, asante sana, naona umepona na Simba! wanasema huko maeneo wakati wowote unaweza ukawa lanchi ya Simba! Be careful :pray:
  8. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    Asante Kaizer! Yani nimecheka sana, Nyani hasusiwi shamba??!!! LOL!!! Hiyo ni Kiboko kama jina langu :-)
  9. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    Kilimasera asante nimekaribia!
  10. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    Keren asante!!! Im having fun already!:wink2:
  11. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    asante Yahemovich, nimeshakaribia na tayari najisikia nipo nyumbani :-)
  12. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    K007 asante. Ndio maana nimejiunga sababu nafikiria na nataka kuendelea kufikiria na kuumiza kichwa sana! :poa
  13. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    asante Katavi, nitazingatia.:nod:
  14. DianaKiboko

    Ninauza kiwanja

    Chilla bado kipo hiki kiwanja? ningependa kuja kukiona kama bado hakijatoka.:rain:
  15. DianaKiboko

    Hello wapendwa, new girl in the block,,,

    Asante Mpevu, sahihi yako poa, usikate tamaa, ila mie nshawahiwa na ndugu yako, ila endelea kuangaza utapata tu hata ikibidi nikusaidie kutafuta, :wink2:
Back
Top Bottom