Recent content by Delavira

  1. D

    kiwanja kinauzwa maeneo ya kigamboni

    kiwanja kipo eneo la kigamboni njia ya Dege kituo shule, ukubwa wake bado hatua chache kifike Robo Acre, katikati ya kiwanja kuna nyumba kubwa ilikuwa tayari ishaaza kujengwa imefikia nusu. bei Mil 12 kwa maelezo zaidi piga No : 0719163288 0765933745
  2. D

    Looking for job

    wapez wa JF natafuta part time job or full job yoyote tu nimemaliza chuo mwaka huu june nimesomea sociology ngazi ya degree
  3. D

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    asante je kwa watu waliosoma koz ya sociology nao watavaa sare
  4. D

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    ningependa kuuliza kuwa iyo koz itakuwa ya muda,gani alafu je baada ya apo ndio unakuwa polisi wa kuvaa sare uku ukitumikia prof yakoo.....
Back
Top Bottom