kuna watu hawana kumbukumbu kabisa, sijui akili yao ikoje? mara hii mmesahau kuwa bajeti ya 2015/16 wizara ya elimu ilisema shule ya msingi hadi sekondari bure? rejea kwenye kumbukumbu za bunge na wizara ya elimu utapata majibu yote hayo.
Mmmmmh Le mutuz, vyuo vyote nchini ukiacha UDOM havina mabweni ya kutosha. Serikali nayo kila kukicha inaongeza udahili. Hivyo ikatoa maagizo wafanye watavyojua ili kuhakikisha wanafunzi wanaoongezwa kwenye udahili wanapata pa kulala. Ndo maana mpango wa hostel binafsi ukahasishwa kwa wawekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.