Recent content by david mwiniko

  1. D

    Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Hatusemi maiti za watu bali tunasema maiti tu, kwani neno maiti hutumika kwa binadam aliyefar8ki. Kwa mnyama huwa tunatumia neno MZOGA/MIZOGA
  2. D

    Natafuta mume, awe HIV+

    Kuna zawadi?
  3. D

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Safari ziendelee 24 hours, madereva wawe makini tu
  4. D

    Ufanyaji kazi wa viagra

    Achana na tabia hiyo
  5. D

    Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Bado makali yako pale pale, tusidanganyane
  6. D

    Dhamira ya Inonga haikuwa nzuri

    Dunia hii shida
  7. D

    Uamuzi gani utafanyika mchezaji akikataa kufanyiwa sub?

    Huo ni uhuni na utovu wa nidhamu
Back
Top Bottom