Waislamu wanaonewa? Be real!! Huu ni usemi wa Waislamu na ni njia ya kupenetrate kirahisi katika mambo ni kama jinsi ambavyo ukiona mzungu anataka kukuzingua then unamwambia "ARE YOU DOING THIS BECAUSE I AM BLACK?" basi anatia akili ni kiini macho tu lakini issue ya Sudan is about being African...
Mambo mengi yaliyotokea mikononi mwa JK lakini ni matunda yaliyo pandikizwa wkipindi cha maraisi waliopita na haswa kipindi cha Mkapa.
Nadhani JK kama raisi ni mtu mpya kabisa na hatuwezi mshirikisha sana kwenye yaliyo toke a hivi punde kwani uraisi wake ni wa sasa na napo awali walikuwa...
Kwa mtu anayejua historia ya muziki wa Tanzania, na haswa miziki iliyowahi kuvuma kama Orchestra,Rumba, Taarabu na mingine mingi utaweza kuelewa ni kwa kiasi gani miziki hii ya zamani ilivyoweza saidia kutoa taswira mpya kwenye muziki huu wa sasa Bongo flava. Kwa ninavyoelewa mimi Bongo flava ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.