Recent content by clara

  1. C

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    safi sana yani nilikua makini kuangali kama kweli chadema watatoka nje message sent Jk kapaki anashangaa tu maana akutegemea bravo CHADEMA achana na CUF WANAFIKI
  2. C

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    kama uko Dar na uko serious unaitaji kuacha pombe kuna dr anatoa dawa hizo yupo ubungo nyuma ya plaza karibu na shule ya msingi
  3. C

    Huduma ya internet Tz

    Habari wana jamiiforum, Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
Back
Top Bottom