We ndo unajua ukweli co,bashe nae ni mpotoshaji alivyomwambia Riz aache kutumia vibaya mageti ya ikulu?mbona huyazungumzii magazeti yenu ya kufungia vitumbua uhuru na mzalendo yanavyoandika habari kishabiki.
Maskini magamba kila wanalopanga linavuja,sauti ya wengi ni sauti ya mungu uwongo wao na hujuma zao zitaisha kwenye sanduku la kura 2015,alunta continua
Hilo gari co la daimond bali la washkaji flan hv wametoka marekani hz benz zipo kama 5 hv mjini zina plet number imeandikwa rich texas daily hao washkaji wanawekaga mafuta sheli ya engen hapa mikocheni so asiwadanganye watu ni lake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.