Recent content by Chief Rumanyika

  1. C

    TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

    Mkiona hiivi basi mjue wazi kwamba NGUZO kiunganishi tayari keshaparaganyika kusini mashariki. Na hapo wananchi bado hatujawasha moto wa kufa mtu kote nchini!!! Msicheze na wananchi wapole wakicharuka!!!!!!!!!!!
  2. C

    Machungu Yetu Leo Kama Taifa na Nimkumbukavyo Mwl Nyerere Jana

    Taratibu kaka, mbona mwendo kasi hivo.
  3. C

    Machungu Yetu Leo Kama Taifa na Nimkumbukavyo Mwl Nyerere Jana

    MOD kama vile baadhi ya watu wameanza kuondoka kwenye mistari ya taratibu zetu kushiriki mijadala?
  4. C

    Tutegemee nini baada ya kikao cha kamati kuu ya ccm leo?

    Kuna mada mpya ndani ya mada hapa au?
  5. C

    Tutegemee nini baada ya kikao cha kamati kuu ya ccm leo?

    Wanawalipa Dowans au hawalipi?
  6. C

    Mtego wa CCM Kujilipa Kupitia Dowans na Tafsiri ya Wapiga-Kura 'TALAKA TOKOMEA'!!

    Kuna mwenye tetesi zozote kilichojiri kwenye kikao cha CCM Dodoma kuhusiana na malipo ya Dowans atujuze hapa?????????????
  7. C

    Machungu Yetu Leo Kama Taifa na Nimkumbukavyo Mwl Nyerere Jana

    [/B] Mwalimu Nyerere kusema "TUMUACHE BADO AKUWE KIDOGO" kumbe mzee wetu alitufunika ujumbe zito ajabu hivi!!!!!!!!!!!! Hivi sasa kama taifa ndio tunaelekezwa wapi na kulazimishwa kulipa mafisadi wasiojulika hata kwa mmoja wetu! Kwa ujanja ujanja huu Watanzania tumeshapoteza kwakiwango gani...
  8. C

    Air hostess dar

    Nenda pale ofisini kwao karibu na Imalaseko Posta Mpya; kuna Operations Manager mwana mama nina uhakika atafurahi sana kufuatilia na kufanyia kazi maoni haya. Hivyo visanamu air-hostess huenda vinapunjwa sana hivyo hutegemea tabasamu za abiria wenye kuendekeza mambo kuwaachia vijisenti au ni...
  9. C

    Katuni ya Leo

    Safari hii CCM kikidhania ya kwamba Dowans nayo ni kuku laini basi ndio wasubiri kuingiza sumu midomoni mwao wenyewe.
  10. C

    'Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe mgonjwa'

    Mungu iweje watu wazuri wawe wanakufa mapema lakini mafisadi wanaendelea tu kudunda mitaani?????????????????
  11. C

    Ee Mungu uliyehai, huwezi kusikia vilio vya waTz?

    Kaka kwa uzito wa hoja yako, nimenyong'onyea kabisa na hata kufikiria kuondoa kauli hapo juu. Dawa hapa ni kutumia mtindo wa Tunisia nchi nzima bila kuchelewa hata wiki.
  12. C

    Maajabu ya serikali ya tanzania.

    Tuondoe huu mzigo wa misumari ya moto mgongoni. CCM tukailaze mahala pabaya jehanam kwa haraka sana kabla hatujatumbukia sote kwa pamoja shimoni.
  13. C

    Ikulu yaanza kumwandama Tido Mhando................

    Dawa ya News Censorship kwa hii karne ya 21 ni rahisi sana watu kuiruka. Andika habari yako na kwa pale pale ofisini kwako rusha kila kitu hewani jf tena bila hata ya wahariri kupunguzia makali yoyote. Pili, pindi serikali itakapoanza tu KU-NCHIMBI vyombo vya habari nchini basi naona hatari...
  14. C

    Ikulu yaanza kumwandama Tido Mhando................

    Wafanye hivyo tu mara baada ya kutujulisha maslahi ya taifa katika mikataba ya Richmond, Dowans, Meremeta, EPA, Umeme MW 600 na nyingine nyingi tu kabla ya kukimbilia hayo.
  15. C

    Ikulu yaanza kumwandama Tido Mhando................

    Itakuwa ni msiba mkubwa kwa hiyo ikulu ya rushwa na mauaji ya raia. Mtu unyimwe kazi baada ya utendaji wa kutukuka tena uandamwe????
Back
Top Bottom