Recent content by Chepii

  1. Chepii

    Wabunge wa Upinzani Waingia na Mabomu ya Machozi Bungeni...Wavaa Gas Mask na Kuyalipua...

    Ndiomaana Neno Kosovo limepitiswa ktk kamusi ya kiswahili kuani Vurugu.
  2. Chepii

    Uchama unaua Utaifa

    Sikumaanisha wakenya wapo sahihi sana bali wanatushinda kuna mambo yakitaifa huwa wanaweka tofauti zao pembeni. pili mimi sipo hapa kwa maslahi ya mtu au kikundi flani pia maoni yangu ni sahihi mbeleyangu lakini kwako yanaweza yasiwe sahihi
  3. Chepii

    Uchama unaua Utaifa

    Tukivitumia vyama vya siasa kwaakili kama tunavyo yatumia maduka tutafanikiwa kwamfano duka A linauza sim C elf 50 duka B ambalo nilandugu yangu anaiza sim hiyo hiyo sh elf 80 hakika nitaenda kununua duka A japokua hatujuani. Basi na kwenye siasa tusimwangalie nyani usoni. Tuhakikishe ahadi...
  4. Chepii

    Uchama unaua Utaifa

    Habari wana jukwaa, Watanzania tumeushinda ukabila tumeshindwa na uchama yaani Januari mpaka Januari kazi ni kukipigia makofi chama chako ukienda kwenye mkutano wa chama chako unasikiliza tu aulizi maswali hata kama unachoambiwa hakikuingii akilini hakina faida kwa jamii. Tunawashabikia watu...
  5. Chepii

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Pata pesa tujue tabia yako,filisika tujue tabia ya mkeo.
  6. Chepii

    Kusitishwa Matumizi ya Tochi: Tutarajie Ajali Nyingi Barabarani

    Hizi tochi haziwazuii madereva kuoverspeed huwa wanapeana ishara wanapopishana kwa kuonyesheana mstari wa ktk yabarabara pia vituo vya kupigia tochi vimezoeleka na madereva wakongwe Mi naona watafute njia nyingine kwani tochi zipo na ajali zinatokea tu tena zinazotokana na mwendo kasi.
  7. Chepii

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Asante mkuu pia dereva hatakiwi kua na huzuni au furaha kupindukia maranyingi zimetokea ajali nakuua wanafamilia waliotoka kwenye sherehe au misiba kama wewe ni dereva na upo na ndugu/rafiki na unaendesha ktk barabara kuu epuka kupiga story kupita kiasi epuka kucheka sana weka akili yako...
  8. Chepii

    Mgomo wa Madereva wazimwa na Waziri Kabaka

    Kama NIT wametoa vyeti feki wawajibiswe wao na 0sii Dereva wala dereva ahitaji kurudi darasani kwakua Elimu alioipata awali haikua feki.
  9. Chepii

    Basi la Sharon linalofanya safari za Arusha - Dodoma, limepata ajali Arusha Airport

    poleni sanamajeruhi na wote mliodhurika kwanamna 1 au nyingine.
  10. Chepii

    Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    vp kuhusu motor vehicle kulipiwa kwenye petrol?
  11. Chepii

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Haaa inasikitisha na kushangaza mtu anaogopa kuuliwa mpaka anajiua!
  12. Chepii

    Ubunge wa Mgimwa Kutenguliwa na Mahakama

    safari ya ukombozi bado ni ndefu sana, ccm wame wapumbaza watz sana hebu tizama mambo yaliyotokea ktk taifa hili na kutopatiwa majibu kutekwa kwa dr Ulimboka mauaji ya Mwongosi Dr Mvungi Mabomu Olasiti kanisani Mabomu soweto Arusha.... yaani nimegundua kila likiwanyika tukio lisilo la kawaida...
  13. Chepii

    Tamko la TRA Kwa Wafanyabiashara Wote wanaogoma Kuhusu Mashine za EFD

    Kama kweli serikali imepania kukusanya kodi je ni kwanini askari wa usalama barabarani wasitumie hizo mashine kukusanya kodi?
Back
Top Bottom