Recent content by Challenger

  1. Challenger

    Movie (Film) - Daudi Mwangosi

    Mdau Kama Sam, Baadhi ya sehemu ya hiyo movie kufanyikia Nyololo ni muhimu kubeba kile nilichokiita uchanganyaji wa hii movie ya matukio na sehemu HALISIA na zile za kuigiza. Iwapo usalama utakuwa mdogo basi tutapitisha kopo la mchango ili tu-sponse hata ikafanyikia nje ya nchi
  2. Challenger

    Movie (Film) - Daudi Mwangosi

    Wana JF, Baada ya kuugukia kwa muda sasa kifo cha Mwandishi wa Habari - Mwakilishi kwa Kituo cha Television cha Ch.10 - Marehemu Mwangosi. Na pia kwa kwa kina kusoma thread mbali mbali za wadau ndani ya mtandao huu Uliosimama - nimekuja na idea moja ambayo. Nitawaombeni Maoni yenu. Kuna haja...
  3. Challenger

    Nyakyusa house....Kyela.

    Gwamyitu! naloli ubhaghile kufikisya?? Ubha-tanganyika tuchanganyikigwe maisha makafu - tubhaghile pakukupa isukari nu munyu - tukwagha ujhooooo kutwalila ikighane kyako iki gwa kilelile kukajha
  4. Challenger

    Petroli kutoka TZS 2,009/= mpaka TZS 2,300/= (Dar es Salaam)

    Kamanda Watu8 Huwa wanasema LAKINI hawatekelezi - na sisi watanganyika rahisi kusahau - issue za kina Ulimboka, Mwangosi zikituchanganya ndio kabisaaaa tunasahau jana tuliambiwa nini na leo kinatokea nini
  5. Challenger

    Tanzania: Bei ya mafuta yapanda!

    MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini ambapo bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Ewura, Titus Kaguo jana bei mpya zilianza kutumika kuanzia jana...
  6. Challenger

    sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

    Sipotezi muda wangu kumjibu mjinga - oh sorry nimepoteza!!
  7. Challenger

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Jaji Mstaafu Ihema Kuongoza Tume Huru ya Uchunguzi!

    Ni nilichomkubali Nchimbi ni pale (sijui alijisahau) katika kauli za awali alipopingana na polisi kuwa eti.."kuna kitu kizito kilichotupwa na wananchi ili aidah kumdhuru Mwangosi au Polisi". Likini nchimbi alikwenda straight forward kuwa ni bomu ambalo halikuwa handled well na mmoja ya mapolisi...
  8. Challenger

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Jaji Mstaafu Ihema Kuongoza Tume Huru ya Uchunguzi!

    Hadidu za Rejea kimsingi zimesimama imara - Tatizo langu muda uliyopewa tume ni mrefu sana -mwezi mmoja lazima kutatokea issue ikafanya wimbo wa Mauaji ya Mwangosi kufutika masikioni mwa watu - Liko wapi suala la Ulimboka kwa sasa. Katika suala la Mwangosi kila kitu kiko clear why tume taking...
  9. Challenger

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    Kangi umbule kyala pakuti undongosi ngwitu (Kiwete) uju abhaputi patile lyo isalilo la Kyala naloli jo uju atupele?. pamo la setano lyanyakile na pakutupa inyamana ili litilkupasya abandu pakugogigwa la nguku??
  10. Challenger

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    UMENENA mwanawane! Nina shemeji yangu ni mdau wa wauaji - nilikuwa na mpango wa kumtembelea hivi karibuni, nasikitika kwamba zoezi hilo nimelisitisha mpaka pale mzimu wa Mwangosi utakaponitoka, sina imani kama nitatoka salama, najua tuta-discuss hii issue halafu sijawasiliana na hasira yangu...
  11. Challenger

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    Nilikuwa nikufuatilia ITV habari jana usiku - kauli ya kiongozi wa kidini akikemea dhidi ya udhalimu wa mauaji ya watanganyika wenzetu ilinitoa machozi tena kwa mara ya pili - mchungaji alipanda juu na kukemea ".. HII HALI MPAKA LINI?" - hapa alinifungua macho kuwa "SAA YA UKOMOZI NI SASA" na...
  12. Challenger

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    Kamanda Mestod, Si rahisi katika tukio kama hili WAUAJI na serikali yao kuhudhuria - hata Mwandosya hakuhudhuria kama mwakilishi toka serikalini - bali kama mnyakyusa, mwakilishi wa wananchi wa Rungwe ambako Marehemu Mwangosi ni eneo lake, na pia kama mwathirika wa kuuawa kisayansi na serikali...
  13. Challenger

    Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

    Kamanda Kiganyi, Nimeshuka na picha moja baada ya nyingine kwa utulivu wa hali ya juu - japokuwa kimwili sikuwa Itete lakini kifikra ni kama nilikuwa pale - Ahsante kwa kutuwakilisha - Damu na udhalimu aliofanyiwa ndugu yetu, mtanganyika mwezetu, mpiganaji mwenzetu, mlipa kodi na mjenga nchi...
  14. Challenger

    Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Hili Jeshi letu la polisi utafikiri la KUKODIWA - kumbe ni jeshi ambalo linatokana na familia zetu sisi wenyewe
  15. Challenger

    Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Jamani sisi wengine ni majirani na hapo Nyololo ambapo limetokea tukio la kusikitisha - kuua mtanzania - mlipakodi wa nchi hii - hakuna kambiya jeshi pale kwamba kuna bomu labda liliangushwa au kupotea - hakuna vita vya ndani kana kwamba kuna mabomu ya kutegwa yaliwekwa. Polisi ndio walikuja na...
Back
Top Bottom