Habari Ndugu zangu?
Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa.
Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza.
Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
Kipengele (i) na (ii) kina gusa Watu wengi Sana mpaka wenye Uchumi mdogo kabisa.
Bora wangeacha Faini ya Bodaboda iendelee kuwa 30,000/= kwa kila Kosa.
Aisee... Tembo ni mtamu japo ladha ya Nyama yake inatofautiana kutoka eneo moja la mnyama hadi lingine.
Kwa Watu wa Ruvuma hiyo ni fursa ya Uwindaji haramu na kula Nyama ya Tembo kwa bei poa.
TANESCO ni genge la Wahuni, kule DODOMA eneo la KIKOMBO na MSALATO tangu 2018 wametwaa Ardhi ya Wananchi na leo hii hawajawalipa.
Wanakuja na Mbwebwe nyingi kuwa FEDHA ipo kumbe hamna kitu.
Narudia tena TANESCO ni WAHUNI.
CCM ikiondoka madarakani watu wa Dodoma Mtaacha kudhulumiwa na mtalipwa Mkuu.
Hebu fikiria tangu Mgogoro wa Ardhi Msalato umeanza mmewahi kumuona Mwenyekiti wa Mtaa, Mh. Diwani, Mh. Mbunge au Mkurugenzi wa Jiji?. HATA SIKU MOJA.
Waziri wa Ardhi Mh. Lukuvi utasikia yupo Mwanza, mara Arusha, n.k...
Sitaki kuwa MNAFIKI, kwangu Mimi Hayati Magufuli alikuwa na Sifa zifuatazo;
1. Mtu aliye nyang'anya TUNU ya UHAI ambayo Mwanadamu alipewa na MUNGU.
2. Mtu aliyekuwa na Kiburi na Jeuri.
3. Mtu mwenye UPEO Mdogo wa Kudadavua mambo, hasa ya Dunia ya Sasa.
4. Mtu mwenye wivu na husda na...
Mkuu Generalist,
Hatupingi, Ila kama Mh. Waziri ameweka wazi PRODUCTION COST @UNIT basi pia aweke wazi SELLING PRICE @UNIT baada ya Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere Kuanza kufanya KAZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.