Recent content by cazola

  1. cazola

    Mtoto wa Kiislamu akojolea msaafu Pemba

    Nimesikiliza Radio wapo asubuhi hii kuna habari zinasema kuna kijana amekojolea kurani na sasa polisi wanamshikilia, kuepika hasira za jamii iliyomzunguka.
  2. cazola

    Hello to everyone!

    Helow wana jamii, mimi ni mgeni from dar, nimefurahia hoja zenye busara hivyo napenda kujiunga nanyi natumaini mtanipokea
  3. cazola

    Tahadhari: ijumaa kesho si ajabu ikawa na vurugu kubwa.

    Mwenge kuweza kufunga na kuomba afanye hivo maana kwa nguvu za kibinadamu haiwezekani, ni Mungu pekee ndio anaweza epusha maafa yasitokee, maana yeye ndio mfalme wa amani, na hua hatetewi anajitetea mwenyewe sisi jukumu letu ni kumwomba tu.
Back
Top Bottom