Recent content by bumilo

  1. B

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Hivi aliyetaarifiwa kwamba raisi amefariki ni mkuu wa majeshi au mkuu wa majeshi ndo alikuwepo wakati mheshimiwa raisi alipokuwa anakata roho??!!!! Hebu angalia Aya ya nne ya thread yako na ufuatilie mazungumzo ya CDF vizuri
  2. B

    Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Kwani naye ni mwanasiasa? Basi nae aachie ngazi hapo alipoajiriwa
  3. B

    Rais Samia atenga siku moja kila mwezi kusikiliza kero za watanzania

    🤣🤣🤣🤣🤣. #Karagabao bwana
  4. B

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    #Nyafwili ni kama lina welekeo wa majina ya watu fulani wa kanda ya ziwa vile. By the way, "you made my day"
  5. B

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Khaaa. Bongo kufa na stress labda upende mwenyewe. Hakika hii ni burudani
  6. B

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    😂😂😂😂😂😂😂. Bongo kuna mambo
  7. B

    Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Kama ni hivyo, basi kumbe hata wewe #Mlabata ni mwongo na mjanja mjanja. Hata comment yako ni uongo. Hata mimi ninachoandika hapa ni uongo😭😭😭😭😭
  8. B

    Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

    Tupe mfano wa makampuni hayo mkuu nasi wengine tujongee kutafuta kipato
  9. B

    Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Huo ni mtazamo wako. Hakuna chama kilichoanzishwa kikose msingi, maono na ushawishi. Sijui unaishi nchi ya "Kusadikika" ambako huwenda uliyoandika hapa yana ukweli pasi na shaka Lakini kama unaishi katika nchi Hui labda were unanufaika na mfumo uliopo. Nakubaliana na wewe kwamba nguvu ya umma...
  10. B

    CHADEMA si chama cha wananchi, ni kikundi tu cha watu wanaotaka kushika madaraka

    Hivi maana halisi ya chama cha siasa ni ipi? Kuna mahali katika ufafanuzi wa maana ya kinachoitwa chama cha siasa utakosa kugusa kitu kinaitwa "kikundi?" Hivi CCM sio kikundi cha watu kinachounda dola? Mbona uko mweupe sana kichwani? Tuna safari ndefu sana kukomboa fikra zetu. Nikurudishe...
  11. B

    Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Lawama sio wapinzani, laumu mfumo uliojengeka katika nchi hii au otherwise kama hautalaumu mfumo wa kimazingira uliopo basi ni dhahiri kwamba wewe pia ni sehemu ya wale wanafurahia mazingira magumu yaliyopo kwa washindani wao halafu mnakuja na vihoja vya kuhalalisha udhaifu unaoonekana kwa...
  12. B

    Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kwa mifumo iliyopo na iliyojengeka nchini kamwe haitatokea chama shindani kuingia madarakani hata kwa miaka 50 ijayo. Never kabisa. Kumbuka jambo tu, "Mkono unaokulisha huwezi kuukata." Hata na wewe naamini huwezi kuukata. Ndio mazingira yaliyojengeka nchi hii.
  13. B

    Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Anayejua mazingira ya chaguzi za Tanzania hili halimuumizi kichwa.
  14. B

    Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Kwanza kabisa kichwa cha habari hakifanani na kilichoandikwa ndani. Pili lugha fasaha imepaa angani
Back
Top Bottom