Recent content by BornTown

  1. BornTown

    Chia Seeds - Kilimo na Masoko

    Naomba kujua zinachukua muda gani kulima hadi kuvuna, na je kuna madawa yanaytumika au yanashambuliwa na wadudu wa aina gani kingine chia seed zinastawi kwenye ukanda gani zinahitaji maji mengi ama wastani, ungetufanunulia vizuri ili utupe motisha nasie tungie kwenye hicho kilimo
  2. BornTown

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Unapofanya TT kuna msg inayokufikia kukuonyesha kuwa kuna TT imefanyika kwako kupitia bank yako husika, kila asubui cooperate customer unapochukua bank statement kwenye bank yako husika lazima ungeona hiyo statement ya TT, kama hajapata msg ya any transaction ni kwamba hakuna kilichoingia
  3. BornTown

    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali

    Agha Khan foundation ni institute kubwa sana EA ukienda any bank utapata account number, ukigoogle unapata namba zao za simu, wanajua amelazwa hospital gani why wasipige simu wakaomba kuongea na watu wa accounts department...... kingine kwenye banks zetu kunakitu wanaita TT(transfer...
  4. BornTown

    Nyumbani kwangu kuna n'ge

    Tafuta kwenye maduka ya dawa za kilimo
  5. BornTown

    Nyumbani kwangu kuna n'ge

    Tafuta dawa inaitwa DIAZNON changanya na maji or mafuta ya taa inauwa wadudu wote ni kali mno angalia isingie kwenye vyakula or maji ya kunywa mtaondoka na nyie
  6. BornTown

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Dawa ya kuacha sigara chukua mavi ya mbwa yaliokauka yapekeche yawe unga halafu ule unga nyunyuzia kwenye sigara zake hakikisha ule unga wa mavi ya mbwa unaingia kwenye ile tumbaku akija kuvuta atapaliwa sanaa natokaa arudie kuvuta sigara maisha
  7. BornTown

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Maziwa ya mama anaye nyonyosha ama ya nguruwe kamulia kidogo kwenye glass wakati anakunywa bila ya yy kuona, but kuwa na maji pembeni na glucose maana atatapika sana hadi utamuonea huruma
  8. BornTown

    Bashite/Startv: Waandishi wa habari mjiepushe na utakatishaji habari/taarifa(news laundering)

    Duh! nimekumbuka ule wimbo " Masela nitoke vp....." o_Oo_Oo_O
  9. BornTown

    Rais Magufuli azindua rasmi mradi wa Magari ya Mwendokasi kwa awamu ya kwanza

    Haya kazi kwenu maana magari , bajaji na pikipiki yakikamatwa njia ya mwendosi yapelekwe police wanatoa matairi maana kazi yao sio kul matairi .....:D:D:D:D
  10. BornTown

    ECOWAS wabaini kemikali ya sumu Ikulu ya Gambia

    DUh !! yaani binadamu ni mdudu wa kuogopwa kuliko viumbe vyote duniani, yaani mtu anadiriki kuweka sumu kuuwa binadamu mwenzio kisa madaraka!!:mad::mad::mad::mad: Halafu huyu rais alietoka si ni alhaji alikwenda kuhiji macca? waliompa hifadhi ya kisiasa wamrudishe kwake hafai hata kufadhiliwa...
  11. BornTown

    Mavazi ya wauguzi mahospitalini yanawatia wagonjwa majaribuni

    Wakivaa nguo ndefu zitazoa uchafu na kuwaletea maambukizi mengine, nguo fupi zinawakinga na maambukizi ya magonjwa mengine :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D na kiafya wanapata hewa, kwahiyo waachie wapate hewa vizuri
  12. BornTown

    Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Basi ndoa zote zitakuwa za kubariki tu sio kufunga maana asilimia kubwa wameshakutana kimwili....
  13. BornTown

    UHUNI WA UDART: Mmesikia Rais anakuja kuzindua mnajifanya mnajali, mlikuwa wapi siku zote?

    Nikusaidie kuongeza 6. Kauli zao pia chafu hasa wale wadada wa kwenye vituo
Back
Top Bottom