Recent content by BornlessOne

  1. BornlessOne

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Joannah ukiwa tayari nijulishe tuongozane.
  2. BornlessOne

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Nipe maelekezo na mimi nifike huko kwenu.
  3. BornlessOne

    Naiogopa miaka yangu 40

    Tuliza kitenesi mkuu. Alafu pia jitambue wewe ni mwanaume.
  4. BornlessOne

    Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Ukinywa ya ginger & lemon ni kama unakunywa fruto, sijaielewa kabisa.
  5. BornlessOne

    WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Mkuu pole, ila comments za wadau zisikutishe sana. Ni kweli karma ipo ila sio lazima ikurudi kwa staili ile ile ya kosa ulilolifanya. Kama ni kukurudi inaweza kukurudi kwa namna nyingine kabisa kiasi kwamba usiweze kujua kama umesha lipia kosa lako. Kwahiyo wewe itulize nafsi yako na binti...
  6. BornlessOne

    Facts about quiet people

    Upo sahihi. Wakati nikiwa young kiddo hiyo namba 3 ilinipa tabu sana, ila nature ya dunia yetu ilinifundisha kui master... Nowadays ukijaribu kulazimisha eye contact wewe ndio utakimbiza jicho!
  7. BornlessOne

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Dah! mtiririko wangu na Aaliyyah umesha vamiwa tayari...
  8. BornlessOne

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Basi vizuri, inabidi na sisi tuanzishe uzi wetu binafsi au unasemaje?
  9. BornlessOne

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Vipi, au wewe upo occupied tayari?
  10. BornlessOne

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Mbona kama ni wewe umekuja kuufufua uzi wako?
  11. BornlessOne

    Msaada wa Kisheria kuhusu mahusiano na Mwanafunzi

    Mbona mnataka kufanya maisha yawe magumu kwa wanafunzi wa kiume? Kwanini msiwashutumu wote kwa kuanza mapenzi wakiwa bado wadogo...?
  12. BornlessOne

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Hizo akili umempaje, kwamba asingekaa kwako hiyo akili yake isingekuwepo?
Back
Top Bottom