Recent content by boniphae

  1. B

    wahaya mjifunze kiswahili fasaha

    Nani anajua kiswahili vzr kwa sababu kila mt ana lugha mama na ndo hapo athari inapotoka.
  2. B

    Mwanaume usiwekeze sana kwa mwanamke asiye wekeza kwako

    Kwamtoro, nakibaliana na ww. Maana mahusiano ni mchango wa kila upande. Kama unamjali alaf yy hana mda na ww. Jua umeliwa. Wadada wengi wanakuwa na sbabu za kumwagwa kwa sababu hizo.
  3. B

    Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

    Kama walikutenda ukatendeka, leo hao hao wanakukimbilia. Waulize, walisahau nn kwako Bujibuji
  4. B

    Wadada tusahau kuhusu huyu kaka , katangaza mchumba tayari

    Kwa kuwasaidia, yule dada wanaefanana sana katika kwaya yao ni mdogo wake. Wadada, bado wapo wavulana mahandsome na wenye kujiheshimu. So, msikate tamaa, what God has planed for u will remain intact.
  5. B

    Swali: Kuna Mawakili/Wanasheria ambao sio Wasomi?

    Huyo anayepinga mawakili kuitwa wasomi, yeye alishawahi kuitwa au kuita msomi akona matokeo yake? Na je kama yy hayuko katika legal fraternity, hiyo ina muuma nn? Ebu nimuulize, kuna shida mama kumuita baba darling?
  6. B

    Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

    Unapokuwa katika mahusiano alaf mwenzio (demu) akiishiwa kitu anakupa taarifa tu. Mf, mr x nimeishiwa vocha au sukari au Luku una mpa; na wewe siku unamtega kuwa huna Luku yeye anaufyata, je kuna mapenzi hapo?
  7. B

    Huwa mnavumiliaje hii?naelekea kushindwa

    Ni uchiz na uendawazi unaowatuma kufanya hivyo. Lakini wengine ni utoto wa akili
Back
Top Bottom