Recent content by Boniface

  1. B

    Nisaidieni jamani nifanyeje?

    Pole mkuu. Kama imefika mahali akawa hana woga wa kumleta nyumbani jua ushaibiwa sana si chini ya miaka mi-4.na kama kaondoka mwenyewe jua kashafanya mengi kiasi kwamba hata ujasiri wa kutafuta suluhu hana. Funga maduka kama waweza uza gari,tafuta jingine,anza upya jua hapo huna mtu
  2. B

    Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

    Usielewe vibaya kama ni moja tu wengine huwa wanatumia kama raba bendi ya kushikia soksi wee endelea tu mwanawane
  3. B

    Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani

    Kuokoka sikuhizi kunatumiwa kama kilemba tu cha kuficha mambo yao. Na wao wanaibana kama kawaida tu sema wanaona dhambi kutembea na asiyeokoka. Kwani hujasikia mtumishi wa bwana aliyempa mimba mke wa mtu hukohuko kwenye ulokole?
Back
Top Bottom