Recent content by bm2010

  1. B

    Jery Muro wa TBC anusurika kupata kichapo mjini Mtwara kutokana na sakata la gas.

    Murro anatumika vibaya, anapaswa kuwa makini sana maana hapa Mtwara anaandaliwa mtego ambao akinaswa atafanyiwa kitu mbaya sana ambayo hataisahau mishani mweka ampaka aniaga dunia. awe makini.
  2. B

    Afrika Mashariki: Tanzania tajiri wa madini, Gesi lakini watu wake maskini

    Mambo matatu ni lazima yafanyike ili Tanzania iweze kutoka katika lindi la umasikini tulionao. 1. Ni lazima mfumo wa elimu ubadilike kutoka mfumo wa kuaandaa watu kuajiriwa kwenda kwenye mfumo wa kuaandaa watu kujiari. Hii ni pamoja na kulifanya somo la ujasiriamali ni la lazima kwa viwango...
  3. B

    Wanaume kazi kwenu(bachelors)!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!

    Mie nimeku- mind, nakupataje tuwasiliane?
  4. B

    Mhe. Habibu Mnyaa alifumua upya suala la gesi

    Usafirishaji wa gesi asilia kwa njia ya bomba una hatua tisa, ambazo ni lazima zifuatwe zote bila kuiruka hata moja. Mojawapo ni wananchi wanaoishi maeneo ambayo bomba litapita ni lazima waridhie. Na hii ni sheria ya kimataifa, hivyo kiwete hawezi kuipeleka gesi hii bagamoyo. Sisi hatutoridhia...
  5. B

    Kukosekana kwa Mfumo wa Uchumi kwatupelekea kuwa na 'Mtwara Corridor' vs 'Bagamoyo Corridor'

    Wanajamvi, naomba niweke sawa hapa kuhusu Mtwara Coridor. Ukweli ni huu, Mkapa ameikuta Mtwara corridor, Mwalim Nyerere ndiye asiiasisi Mtwara corridor tangu miaka ya sitini maandiko ya Mtwara Corridor yanapatikana katika maktaba ya mkoa wa Mtwara ya tangu wakati huo, ikataka kulihakikisha hili...
  6. B

    Kwanini CHADEMA inasimama na Lwakatare, maamuzi ya Kamati Kuu

    Kamanda mkakati wa kuidhoofisha CDM ni mkubwa sana, bora makamanda mmeligundua mapema. Sikiliza kisa hiki cha kweli kimetokea hivi karibuni hapa Mtwara. Viongozi wa SHURA YA MAIMAM MKOA wa Mtwara wameitwa mmoja mmoja na kuhojiwa juu ya sakata la gesia asilia kusafirishwa kwa njia ya bomba kwenda...
  7. B

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Zitto, we kamanda na kichwa. nimekukubali songa mbele kamanda. Umewapa ushauri wa bure kama hawatautumia hasara ni yao hao vijana wadogo kiumri na kisiasa. Pia Clous FM - Kibanda na Gerad mlikuwa mnaheshimiwa na jamii sasa Clous FM ilikuwa redio ya watu lakini kwa mwelekeo huu nadhani mmiliki...
  8. B

    Bagamoyo na Katavi: Are they New Centres of Gravity ya Uchumi wa Tanzania?

    Mtwara wameapa gesi asilia haitoki mpaka mtu wa mwisho kupigwa risasi ndipo gesi iondoke kwa sasa wasahau.
  9. B

    Statoil plans East Africa LNG plant after Tanzania gas find

    Habari za faida za gesi asilia zinapatiakana kwenye mtandao wa internet. angalia www.angas.us na www.albertaenergy.gov. hebu achani uvivu. Kama unadhani madai ya wanaMtwara yanatokana na unaowaita vyama vya upinzani umekosea. WanaMtwara wanaunganishwa na umasikini wao kutokana na serikali...
  10. B

    uongo wa CCM na matumizi mabaya ya vyombo vya habari Chato

    Wajinga ndiyo wakutawaliwa milele, kwao kufikiri ni mzigo. wanataka cdm iwafanyie kitu ilihali wanajua kuwa wakusanya kodi kutoka kwao kwa wafanya biashara ni ccm. Watumiaji wa mapato kutoka kwenye raslimali za taifa ni ccm. waache watumike kufanya propaganda watanunuliwa bodaboda na kupewa jezi...
  11. B

    JK for Mtwara

    Nyie mnaoongea nyote mpo dar wala hajui kinachoendelea Mtwara, mwache aje ajionee mwenyewe kama ulikuwa upepo unaopita au la. Ukweli ni kwamba watu wanalishughulikia hili kwa hoja. Hivi nyie mnajua gesi asilia ni nini? na kwa nini watu wa Mtwara tuonaoijua tunasema gesi asilia ya Mtwara itakuja...
  12. B

    IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality!. Utampeleka JK The Hague-Part II!

    Mkuu Pasco, jiandae kutembelea Mtwara maana huku nako hakuna wanasheria wakutusaidia kwani inavyoonekana serikali inajiandaa kuichukuwa gesi asilia kwa nguvu ila balaa kubwa litokea ambalo halijawahi kushuhudia katika nchi hii, na kwa hili njia ni nyeupe kwa shemeji kuelekea the Hague maana...
  13. B

    CHADEMA na uzinduzi wa kanda mashariki

    Hivi ccm mnaweza kujenga uhalali wenu kwa wananchi kwa kutumia njia hii ya kipuuzi na kijinga. Mkumbuke kuwa humu JF hakuna wajinga wa kunaswa kwa propaganda za kijinga na kitisho. jipange tena.
  14. B

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Ukweli utajulikana. Hii fabrication itajieleza tu
  15. B

    Picha na matukio: Ziara ya Kinana China, akifanya mazungumzo na viongozi wa CPC

    China utawala wao ni wa majimbo aina hii ya utawala imeimalisha maendeleo ya china. ingekuwa vema magamba wakajifunza aina hii ya utawala, lakini kwa kawaida magamba hawaigi mambo mazuri. ingekuwa ufisadi wangetumia nguvu nyingi kujifunza
Back
Top Bottom