Recent content by BLUESz

  1. BLUESz

    Ajiua kwa kujitumbukiza kisimani baada ya kuua mke, mtoto kisa mgogoro wa michepuko

    Japokuwa marehem hasemwi,unaoaje binti ambae ni rika la mwanao?Hata kama hakisema akupelekee moto si ndo kufia kifuani huku!! R.I.P my lovely EVODIA
  2. BLUESz

    Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

    Ikupendeze MH; SHERIFF watazamaji wa hii movie yetu ya kutisha ANACONDA wote tumekaa kimya kukusikiliza.ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI DJ WETU KWA KUTUABARISHA BILA KUCHOKA
  3. BLUESz

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

    Ikupendeze Mh. SULEY koram yetu imekamilika na tuko tayari kuendelea lakini pia tumuombe shahidi aache kucheka mahakamani maana hatuelewi ni kicheko cha furaha au huzuni
  4. BLUESz

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

    Asante sana mkuu!!HII MOVIE NI KALI LAKINI TATIZO STAR AMEKARIBIA KUFA NOTE:STAR WA MCHONGO AKIFA MOVIE KWISHA
  5. BLUESz

    Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Duuuh hatari sana hii,kila mtu na uelewa wake na anavyoamini
  6. BLUESz

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    DAAAH BONGO SIHAMI AISEEE YANI HII NI AIBU YA TAIFA INABIDI BENDERA ISHUSHWE ROBO TATU MLIGOTI
  7. BLUESz

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Tupo pamoja mkuu,pia asante kwa kutujuza!!!Naona lile giza lilokuwa limetanda limeanza kuondoka jana kwa wenye vichwa vigumu kama mimi
  8. BLUESz

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Asante mkuu kwa kutuhabarisha!!Nadhani leo wataleta MABOM,MASHINE YA KUKATIA MITI NA VIFAA VINGI SANA NOTE:wacha mvua inyeshe tuone panapovuja
  9. BLUESz

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

    Asante mkuu!!Tunamsubili yule shahidi anaesema "weeeee mimi nilimkabidhi zote laini na simu" WACHA INYESHE ILI TUJUE PANAPOVUJA
  10. BLUESz

    Sikuwahi kuamini kuna Watu wanakula ‘Bata’ kiasi hiki!

    Daah kwahiyo huyo wa 15 ulimfaidi eee
  11. BLUESz

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Hii movie itakuwa kali sana kuliko zote(WASIOJULIKANA)
Back
Top Bottom