Recent content by Blue_Face

  1. Blue_Face

    For those who remember blue_face

    Sawa haha;) ulikuwa unaitwaje zamani. Nawakumbuka Kidawa na Mentor na... nimewasahau.:)
  2. Blue_Face

    For those who remember blue_face

    Sio mjukuu ni babu yenu. Nilikuwa hapa miaka mingi nyuma. Ahsante
  3. Blue_Face

    For those who remember blue_face

    Asslm aleikum.. Ramadhan Karim.. Just nakuja kuowaoneni after looooong kupotea. Hamjambo nyote. Jana nilipata email kutoka JF kunikumbusha kama sijapita siku nyingi. Nawashukuru JF team. Nakutakieni Edi Mubarak.
  4. Blue_Face

    Between your legs!

    Umerowa mikojo - between your legs, HaHa
  5. Blue_Face

    Maziwa matamu,lakini...

    Hahaha, labda umtafune maana meno mengine yana poison, nafikiri yakitoka maji-maji time ya kunyonya ndio inaweza kuleta madhara kwa mwanaume au mtoto. Ama kama makavu naona hamna mushkila. Hamna condom ya mdomo - hahaha.
  6. Blue_Face

    Just BIG-HI,, Hamjambo?

    Thanks Lara - Lara # 1.
  7. Blue_Face

    Hivi kuna mwanamke yeyote anaekubali hili?

    Eee ndugu, hakuna mke anataka ku-share muhogo - that's the fact. Hata hivyo wapo wanishi pamoja bila ya ugomvi miaka nenda miaka rudi.
  8. Blue_Face

    kutoka nje ya ndoa

    Aisee sasa alikutuma umtafutie shauri - labda na yeye pia kashindwa kumfikisha atakapo, hahah
  9. Blue_Face

    Just BIG-HI,, Hamjambo?

    marahaba ha wambaje? haha
  10. Blue_Face

    Just BIG-HI,, Hamjambo?

    Dear wapendwa & marafiki.. After looooooooooooooooooong time, leo nimepita kuwasalimu nyote wapenzi na marafiki JF. JF hamjambo? Wengi hawanijui but salaam ni makumbusho. Blue_Face.
  11. Blue_Face

    Simuelewi upendo huu

    nyota njema hutokeza mara moja, nenda kamuone na usichelewe kula sambusa. juzi juzi likutana na bahati hiyo, demu ananipigia simu kama hana akili uzuri na eti ananijuwa, mimi simjui - tukapema miadi tuonane saa 10 (4 am) alfajiri kumona nilitaka kutoka mbio lakini nilivutiwa na body yake...
  12. Blue_Face

    Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

    sawa babu - tuimarishe & same time usikoseshe wengine/wapembeni utamu - hahahaha
  13. Blue_Face

    Tabia za wanaume Wasambaa: Binti yangu kakolea kwa Msambaa

    kaka, ni bora kakuletea mchumba mapema - usitizame ni kabila gani, awe mtarabu na heshima yake na aweze kulea bint yako kwa hali na mali. Ni bora kuliko angalikuletea mimba/katoto bila ya mdoa. Hongera in advance mkuu..
  14. Blue_Face

    Mchumba wangu ana jini mahaba

    ni popobawa huyo - iko siku akiwa mkeo hayupo ujitayarishe.......... you got wht i mean, hahaha
Back
Top Bottom